She is my boss
Sehemu 19
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page…. Damich story entertainment
My website….
http://damichstory.blogspot.com/
Tulipo ishiaishia
Jackline
Wew Jack we jack
Jack alishtuka na wenge badala ya kukanyaga break akakanyaga mafuta kwa nguvu gari likaongeza spidiii
Nilicho fanya nikamfungulia Jackline mkanda kisha nika vuta
Handbrake kwa nguvu zote na kukatisha ustelingi kushoto
Gari ilipiga drift mmoja kaliii
KWA WATAALAMU WATA NIELEWA KWAMBA UKITAKA UPIGE DRIFTING UNAKANYAGA MAFUTA KISHA UNA KATA KONA KALII NA KUVUTA HANDBRAKE
NA SIO KILA GARI LINA DRIFT
Gari ya Jackline ilikubali ku drift na hii ni kwa sababu ni BMW
ndo maanaa
Kisha nika mvuta Jackline upande wanguu
Iliskikaaa
Paaaaaaaa!
Kila mmoja alikata m
oto tulizimia…………..
Endelea
(Usisahau ku invite your friends to like my )
Pia muwe mnashare story
Msiwe wa choyo kiivoo
Endelea na story
Sikujua kilocho endelea
Kitu cha mwisho kuona niliona watu wengi wamezingira gari na wengine wakijaribu kufungua mlango
Tuliwaishwa hospital
Uko hospital sasa
Uyo wakiume mpelekeni ICU
Maana anaonekana ana ngeu upande wa kichwanii
Tukiachana na hospital
Mr freymar Mrs Latipha walipata taarifa tumepata ajalii kubwa
Huwezi amini watu walichanganyikiwa si mr freymar,si Latipha,si Jackie,si Aisha,si Rose ,si Erick
Kwa ujumla watu wote walichanganyikiwa
Kila mtu aliwahi hospital aiseeh
Harakati za matibabu zilikua zina endelea hasa hasa kwenye kile chumba nilicho lazwa Mimi
Kwa upande wa Jackline yeye matibabu yake yalikua yamekamilikaa anasubiriwa azindukee tuh
Alionekana doctor mmoja akitoka katika kwenye chumba cha ICU na alimuita na kuingia nae officini
Za saizi mzee
Salaam pole na kazii
Asante
Ok mgonjwa anaendelea je
Ah kwa upande wa yule wakike ana shida
Shida ipo kwa huyu wa kiume
Yule wa kiume amejigongeza kwenye kichwa upande wa medulla oblongata
Na hinaonekana kama ubongo ume shekiii
Na inahitajika matibabu ya haraka
Anatakiwa asafirishwe apelekwe India,kwa sababu hapa Tanzania akuna wataalamu wa Brain
Mr freymar alitoka na kumwita Jackie na mke wakee
Dah damich anatakiwa ahende hindia kwa matibabu
Jackie embu nenda nyumban wew na Aisha kachukueni nguo za damich na za kwenu kisha mje apa hospital haraka
Na wew mke Wangu nenda kachukue visa na mapasport haraka safar inaanza Leo
Baada ya lisaa limoja kupita kila mtu alikua amesha rudi hospital
Jackie pamoja na Aisha nyie mtaenda India na dammy kwa ajili ya matibabu yake.
Na ntawapeleka kisongo mtapanda
Private jet
Adi dar es salaam mtapanda ndege inayo elekea India na hizi ni document za dammy pamoja na hospital mtakayo fikia
Simu imesha pigwa uko India kwaiyo mkifika amta teseka tena mkifika Bombay Air port
Mtakuta mna subiriwa na ambulance ya muhje khan hospital
Mtapanda mtapelekwa mmoja kwa mojaa
Mr freymar alimaliza kutoa maelekezo
Ok kuna mtu mwenye shida kipingamizi
Amna wote waliitikaa
Basi freymar na mke. Wake pamoja na Jackie, Aisha na dammy
Walipanda gari adi kisongo
Kisha waka kodi private jet adi
Dar es salaam kwenye uwanja wa ndege wa Taifa
Safari yakuelekea India hili anzaa
Jackie Aisha na dammy wanatua ndanii ya Bombay Air port na kupanda ambulance moja kwa mojaa hadi kwenye hospital ya muhje khan hospital
Mapokezi mazurii
Matibabu ya dammy yalianzaa
Tukiachana na India
Turudi Tz anaonekana Jackline akiwa kitandan akijitingisha tingishaa mara alipigaa ukelelee na kuita damiiiiii alishtuka uku alihema haraka haraka
Latipha, Mr freymar na madaktar walimuwai
Doctor akaenda kucheki mapigo ya Moyo yanaenda sawa
Basi alimtolea paipu ya oxygen
Jackline aliamka na kuuliza damii
Yupo wapi
Tulia mwanangu damii yupoo
Kwanza unajiskia je
Mama Mimi mzima nataka nika muone damii
Skia mwanangu dammy kwa sasa hayupo Tanzania
Yupo wapii
Yupo india kwa matibabu
Mlivo pata ajali ubongo wakee ulicheza na ndo maana kapelekwa india
Jackline kuskia hivyo alianza kuliaa
Tena alilia sanaa
Mr freymar na mke wakee walishangaa na kujiuliza maswal mengi
Unajua kwa nini ana lia
Zipo sababu mbili za msingi
Sababu 1
Ubongo ni sehemu ambayo ni muhimu sana na ndo maana imefichwa na fuvu gumu la kichwa pia ha itakiwi kisumbuliwe kabisa maana huna weza kufa au kuwa kichaa
Sababu ya piliii…….utaijua mbeleee
JAMANI NATAKA HII SEHEMU YA 19 HII FIKISHE LIKE 100 NA ZAIDI NA COMMENTS 100 LASIIVYO SEHEMU YA 20 NDO ITAKUA YA MWISHO MAANA SITA SHINDWA KUIMALIZIA NI TASEMA DAMICH ANAFARIKI KWA SABABU DAMU IMEJICHANGANYA NA UBONGO ILA MKIFIKISHA IZO LIKE NA COMMENT KITU KUTAENDELEAA
MAANA UKO MBELE NI HATARI YANI NI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ITAENDELEA KWA JUHUDI ZENU
USIKOSE SEHEMU 20
Usisahau ku like my page Damich story entertainment Facebook
Kwa ushauri maoni
Nichek WhatsApp 0624032247
Damich ink
Copyright
©Damich 2018®
No comments:
Post a Comment