Gangster
Sehemu 4
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page…. Damich story entertainment
My website….
damichstory.blogspot.com/
Tulipo ishia
Nancy alisahau ndoa alio funga na mume wakee
Asubui yake priva aliondoka na kwenda kwenye miangaiko yakee ya kila siku
Uku nyumban kwa Nancy
Saangap Damich ajaingia na kumwambia mke wake ameshuhudia kila kitu
Alikuja jana usiku na haliona kila kituu
*Songa nayo*
Binti aliendelea kukumbukaa saiyo bado yupo hospital
Usije uka changanyikiwa story hii ni yakitaalamuu hivyo soma kwa umakinii
Tuna achana kumbukumbu alio kua akikumbuka Nancy akiwa hospital
Tuna rudi hospital
Kama unakumbuka kuna kijana alipigwa risasi na Nancy mwanzonii kabisaa katika sehemu ya kwanza
Hinaskika sautii ya madaktari ikisema yule kijana tayar amesha fariki dunia
Na alie. Fariki dunia alikua ni priva
Ni kwa nini Nancy alimpiga risasi priva wakati alisha kua mumewake wa pilii
Mimi sijui
Endelelea na story hii utajua kila kitu
Story hii ni yakitaalamuu
Nimeumiza sana kichwa kutunga hii story
Nancy aliskia kua priva kafaa na mwili wake umesha pelekwa mochwari
.
Baada ya Nancy kujua priva tayar amesha kufa Ali nyanyuka kitandan na kuchomoa mirija ya dripu ya maji pamoja na damu
Binti alichukua lift na kupanda juu
Saiyo hali yakee ni mbaya sana
Usije uka jichanganya kumbu kumbu yetu bado ipo pale palee saivii tumerudii mwanzo kabisaa hivyo kuwa makini
Nancy aliishiwa nguvuu akiwa yupo bado kweny lift
Sasa akawa anakumbuka ilikuaje baad ya mume wakee kumkuta
Sasa kumbu kumbu ndo inaendelea
Binti alipata hofuu baada ya kujua ka msaliti mume wakee japo ni jambazi lakini alikua na hakii ya kupenda
Binti alijifungia ndanii
Damich roho ilimuumaa
Damich alitoka moja kwa moja na kwenda kumtafuta mtu alie ingilia ndoa yakee
Binti alipo gundua kua damii ana mfwata priva ilim bidi achomokee na kwenda kumzuia maana ana mjua damii vizur jinsi alivoo
Uku kwa Damich
Alikua tayar kamuona bibi harusi wake akuuliza alimkamata na kuanza ku mpiga
Aiseeh alimuivisha priva alimpiga mpaka akazimia lakini damii akumuacha aliendelea kumpiga
Nancy alifanikiwa kufikaa na kumuamua damii lakini wap dam alikua haelewii
Alinyanyua chuma na alitaka kumpiga nacho lakini alimueshimu mke wake
Damii alimshika mkono mke wake na kuanza kuondoka nayee
Damii niaacheee mimi sikutakiiii
Damiii niacheee
Alikua ni Nancy
Niacheee iiiii
Alimpeleka adii ndaniii kisha akamuachilia
Nancy alitoka ndani speed kumuwai priva lakini alikuta priva ayupoo binti aliita lakini wapiii
Alisema eeh mungu nimepata mume mstaarabu lakini ili lijambazii limekuja kuniaribia binti alirudi ndani kwa hasira na kumkuta damii ka simama ali mvuta na kumpiga vibao ulikuaaa wapiii siku zotee
(Sehemu hii ukisoma jaribu kusoma kama mtu anaye ongea kwa hasira na jazba kalii ndo italeta ladhaa sawaa)
Wew ni mume wangu sasa
Wew ni mume wa aina ganii
Uliniambia baada ya kifo cha mtoto wetu utabadilikaa lakini wapiii wew ni lijambaziiiii
Nancy alikua akiongea kwa jazba kali
Hakuna furaha uliyo nipa katika haya maishaa
Leo unanipigia mtu aliye nipa furaha katika maisha yangu
Mtu aliye ni jalii mimi
Kila siku nakuambia uachee kazi ya uhuniii hauskii
Sasa leo unanipigia mtu aliye ni pa furaha katika maisha yangu
Amenipa furaha kama furaha mwanamkee anayo takiwa kupataa
Una taka kujua nini
Priva ndo mtu katika maisha yangu
Nancy alikua akilia kwa uchungu na kwa jazba kali
Wew hufai kuwa mumee
Priva ndo mumee anafanya kazi ya halalii
Anapata pesa za halalii
Wala sio kazii za kijambazii kama wewe
Wewee ni jambazi ustailii kuishii na watuu
Sikuuu takiii katika maisha yangu
Damii alimkataa kibaooo
Lakinii bintii alichoo ongea ni kweliii
Amemvumilia miaka 5 jamaa aache ujambazi lakini wapiii
Mtoto wao kafa kwa ajilii yakee
Jamaa alimpiga makofi mke wakee lakinii aligundua amekosea
Nancy alikimbia ndaniiii
ITAENDELEA
USIKOSE SEHEMU 5
WhatsApp / 0624032247
Damich story entertainment
Copyright
©Damich story ®
2018
No comments:
Post a Comment