Gangst
r
Sehemu 5
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page…. Damich story entertainment
My website….
damichstory.blogspot.com/
Tulipo ishia
Damii alimkataa kibaooo
Lakinii bintii alichoo ongea ni kweliii
Amemvumilia miaka 5 jamaa aache ujambazi lakini wapiii
Mtoto wao kafa kwa ajilii yakee
Jamaa alimpiga makofi mke wakee lakinii aligundua amekosea
Nancy alikimbia ndaniiii
Songa nayo
Leo alijuta
Kumbe kazi ninayo ifanya inanifaidisha kweli napata pesa lakini kuna vituu nakosaa
Laiti ninge lijua ninge liachagaa hii kazii
Damii alijuta na kugundua kuwa amemkosea mke wake japoo amenisalitii
Lakini chanzo ni mimi
Aligundua kuna humuimu wa kuacha hii kazii
Damich ilibidi amrudie mke wake na kujaribu ku m bembeleza kama ata.muelewaa
Damii alimsogelea mke wake na kumuuliza
Hivi ni kweli unampenda privaa
Na mimi unitaki tenaa
Damich alimpigia magoti.mkewe na kumwambia
Ni kweli nimekukosea
Lakinii kama utanipa nafasi mmoja tuh
Nafasi mmoja tuh tena ya mwisho,sita fanya tena makosaa
Nitabadilika moja kwa moja
Nitaacha ujambazi na kutafuta kazi nifanya
Ilimradi niishi na wew mke wangu maana wew mungu ndo amenipaa
Na kwa sasa nipo tayar kuacha na maovu yotee
Tafadhalii naomba usiniachee
Ukiniachaa nitakufaa
Nimepoteza mtoto Leo tena na wew uniachee
Tafadhalii na badilika moja kwa moja
Damii adi aliliaa
Sitaweza kuishi pasipo mke wangu
Please
Please
Please
Damii alilia kwa uchungu mnooo
Hakuna binadamu asie style kusamehewaa
Na hakuna mwanadamu asiye na hakii ya kupenda au kupendwa
Mara simu inaitaa kupokea
Inasikika sauti ya petro yule bubu
Akiongea
Muuh mhuuu mhuuu
Mhuu aiyiii auuuu. Mhuuu
Damich aliielewa ile simu maana aliye piga alikua ni rafiki yake na alimaanishaa ni police wanakuja walipo
Alipo chungulia polisi walikua wamesha fikaa
Ni yule yule inspecta seba
Binti alimwambia damii kimbia kimbia stakii ukamatwe na polisi
Saiyo polisi wana pambana kuvunja mlango
Damii alimshika Nancy na kutokea kwa dirishanaa na kukimbia
Walikutana na petro yule bubu akiwa na gari basii walii yorokaa na kwenda mbalii
Damii alitafuta nyumba japo iilikua imechokaa lakini ndo yakuanzia maishaa
Damii alipiga kila kazii
Kazi zotee za kiumee alipiga alijichanganyaa na mafundi ujenzii
Alipiga kazii
Na kutoa jashoo
Alipigaa kazii akipata elfu 5 lakini ya halalii wanakula na siku ziliendaa
Siku mmoja Nancy akiwa yupo nyumba alianza kujiskia kichefu na hii ilikua ni dalili za mimbaa
Je mimba ni ya nani mimba ni ya priva
Jamaa alibadilikaa mikono ilikua na suguu
Bint aliamini kuwa jamaa kabadilika
Damii leo alimfwata Nancy na kumwambia kuwa wanaomba warudii Tanzania
Naomba turudii
Nimebadilisha maisha kwa ajili yako
Bila wew mimi adi leo ninge kuwa jambazi ila kwa ajili yako nimebadilikaa
Naomba turudii nyumban
Nancy alipo kuwa anaskia ma neno ya mume wakee
Machozi yalikuwa yakimtokaa aligundua kuwa wakati ana rudisha moyo kwa mumewe anagundua kasha fanya makosa kwa maana ana mimbaa ya priva
Je? Nancy atafanya je
ITAENDELEA
USIKOSE SEHEMU 6
WhatsApp / 0624032247
Damich story entertainment
Copyright
©Damich story ®
2018
No comments:
Post a Comment