Gangster
Sehemu 10
MWISHOO
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page…. Damich story entertainment
My website….
damichstory.blogspot.com/
Tulipo ishia
Mume ndo hivyo anakwenda kunyongwa
Yeye mwenyewe ndo kamuuza mumewee
Kwa ajilii ya priva na privaa ndo uyoo kumbe kamtapeliii kimapenz aiseeh
Na uku upande wa priva yeye anaona ni sawa kabisa kwa sababu anapata pesa kwa kutumia story ya Nancy na DAMICH
Songa nayo
Nancy ndo akaamua kurudia pombe mara kumiii ya mwanzo
Sasa hivi ni pombe na yeye
Yeye na pombee
Yanii maisha ya bintii ndo yameharibikaa kuliko ata mwanzo
Siku zotee maisha yanakupeleka yanavyoo takaa maisha
Wala huwez kuyapelekaa maishaa ata siku mmoja
Mungu peke yakee ndo anawezaa kuyapeleka maisha na kukupangia pale anapo taka wew uishii
Na ukiishii kwa kumtegemea munguu mtuu wanguu
Mambo kama ayaa hayawezii kukukutaa
Na huwez kufikia hatua ya kunywa pombe kama hivii
Nancy yeye ana munguu
Ana baba
Ana mama
Wala ana mumee
Pombee ndo kitu kilicho karibu yake na ndo amekua rafiki yake wa karibuu
Yanii kiukwel Nancy amepoteza kabisa dira ya maisha yakee
Akiwa katika halii mbaya skumoja yule bubu petro alumtokea
Rafiki yakee na damii
Alimtazamaaa Nancy
Alimpiga vibao
Shemeji wa kipumbavuu huyuu
Petro alichomoa bastola na kutaka kumpiga risasi ya kichwa
Lakinii ni shemeji yakee huyuuu
Binti ana mwambia ni ue
Tafadhalii naomba uni ue
Ni ue si stailii ni ishii dunian
Petroo alitoa barua ambayo damich aliiandika
Pamoja na passport
Ahaaa ahaaha ahaa
Bubu alikua akilalamikaaa
Hii ni barua ambayo damich aliamua ku iachaa
Siku tegemea Nancy
Kama unge weza kunisalitii kwa kiasii kikubwa namna hii
Angali Mimi niliamua kuacha vyote kwa ajilii yako, lakini wewe ulishindwa kuacha yote kwa ajili yanguu,sina kinginee nilicho bakiwa nacho kwa sasa,serekalii itakwenda kuniukumuu kifoo kutokana na ualifu nilio ufanyaa tokea kitambo,na ningelikua nimetorokaa na kurudi Tanzania, ningelikua na maisha ya amanii
Na ualifu ninge uachaa na dunia inge sahau ualifuu nilio utendaa na jina linge futikaa kabisa,na kwa ajili yako Mimi Leo naendaa kufaa,kila laherii hishii na huyo mwanaume ulio onaa anastailii,
Na kama ukiona umeshindwa kuishii na uyo mwanaume nime mtuma petro akuletee passport upande ndege hurudii Tanzania maana mimi sikukutolea uku south Africa
Hivyo siwezi kuku acha ukuu
Leo Damich kesi yakee imesikilizwa mahakamani na ameukumiwa kifoo na mahakama ya huko huko south Africa
Maana alisumbua kwa mdaa mrefuu
Sasa tunarudii mwanzo kabisaa katika sehemu ya kwanza
Pale mvua ilipo kua ikii nyeesha na kuna range rover moja ambayo ilikua imepakii barabarani
Ndani ya gari hilo palikuepo na Nancy pamoja na petro yule bubu
Ndo pale bintii anachukua bastola ya petro na kumuambia
Na omba unihaidii kitu ki moja petro
Baada ya Mimi kumpiga risasi mtuu uyuu na kumu Ua niahidii utakuja kunipiga risasi na Mimi nifee
Nancy alitamani kufaa lakini hakutakaa kumuacha mtu aliye haribu maisha yakee aishii alipanga ampige risasi kisha na yeye apigwe risasi na Petro afee kabisa na ndo palee Nancy anachukua lift ana amua ku pandaa juu
Na hapa ndo mwanzo wa story ilipo hanziaa
Nancy aliingia kwenye chumba cha privaa
Alikutana nayee huso kwa husoo
Nancy akumkopeshaa
Alimpiga risasi nne za kifua sasa Nancy akawa anashukaa ili petro na yeye akampige risasi
Lakinii priva alijitaidi na kufungua droo na kuchomoa bastola yake na kumpiga Nancy risasi katika bega la kushoto
Nancy alidondoka
Na ndo palee walipo chukuliwa na kupelekwa hospital
Anamaliza kumbu kumbu yakee alio kua akikumbukaa na saiyoo yupo juu ya gorofa
Kama unakumbuka binti alitakaa kufa ndo maana alichomoa mirija ya dripu na kupanda juu ya gorofa
Upande wa pilii Damich na yeye ndo anavishwa kitambaa cheusi ana nyongwa na bintii ana jiachia juu ya gorofa
Sasa wakati Nancy anaondokaa anajiona amedondoka kweny sehemu Safi yenye maUa ya kuvutia majnii ya kupendezaa
Saiyo bado ajafika chini
Anaona akifikaa atakutana na mume wakee pamoja na mtoto wao charti wakimsubirii
Na yeye atafika na kuishii kwa raha mustareeh
Uko ambako akuna mafua wala maleria
Na atamkumbatia mumewakee pamoja na mtoto wake
Saiyoo wotee awapoo dunianii
Damich ayupo charti pamoja na yeye mwenyewe
***MWISHOO***
Ndugu yanguu hizi ni hadithi ambazo zipo hapa Hapa dunianii
Na nimeleta mahususii kwa ajili ya wewe unaye somaa story hii
Ni kwamba aya ni maishaa tuh ya watu wenginee na hukitaka na wewe usifikie hatua kama hii
Unaweza ukachukua point mbili,tatuu ambazo zitakufaa na ukatumia katika kuendesha maisha yako yakawa sawia
Kwamba ualifu sikuzotee hauna faidaa
Story hii imeletwa kwenuu na Damich
Kwa uzamini wa damich story entertainment
WhatsApp number 0624032247
Contact +255624032247
Instagram…@damich2
Facebook page Damich story entertainment
Asanteniii sanaaa
Copyright
©Damich story ®
2018
No comments:
Post a Comment