She is my boss
Sehemu 18
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page…. Damich story entertainment
My website….
http://damichstory.blogspot.com/
Tulipo ishiaishia
Nilifunga milango ya gari nikapandisha vioo kisha
Nikamsukumia Jackie siti ya nyuma nika mvua nguo na Mimi nikavua nikamweka style ya kifo cha mende na nikaanza kumkamua dah ki zagaa cha Jackie kinataiti mbaya kama bikra vilee
Tulipiga gemu hadi kila mtu akaridhika
Huwezi amini nilimminyia bado 4 si mchezoo
Sasa yeye sjui alipiga ngapiii
Mchezoo huo uliendelea kila mara
Yani amna demu nimemla kama Jackie yan kila sikuu nakiona kipya daa
Mwezi huliisha nikawa nimesha kua dereva mzuri tena mzuri
Kilicho bakiii ni lesenii……
Endelea
Baada ya siku 3 kupita
Ilikua ni siku ya jum3
Mzee frey aliniambia Leo ndo ananipeleka chuo cha driving school kujifunza sheria za barabarani
Tuliondoka hadi pande za sakina kwenye chuo cha Arusha driving school
Tulikaribishwa vizur
Karibun sana
Haa merry ni wewe
Frey aliongea
Haa jamn frey dah kweli mungu wa ajabu aiseeh
Milima haikutani ila binadamu tuna kutana aiseeeh
Dah embu niambie umehamia lini Arusha
Mimi nilipo maliza chuo tuh nikahamia hukuu
Dah ata Mimi baada ya kumaliza ndo nikaja kufungua chuo cha driving
Eehe na wew Frey zaivi unafanya biashara gani
Mimi ninauza magari
Wap huko
Si pale kwa father babu
Kwenye hile hospital
Kuna mahal panaitwa academy
Ahaaa nimepajua
Dah kweli ujabadilika kabisa
(Merry na frey wamesoma chuo kimoja cha biashara)
Merry alimvuta frey wakawa wanatembea tembea tembea kuoneshana mazingira
Mimi nilikua nimekaa zangu tuh nashangaa shangaa
Wakati napitisha pitisha macho mara nikaona demu mmojaa
Mkaliii..ki..ku..
Kaa anashepu mmoja hatar kaa utafikiri ni Nicki Minaj dooh
Aiseeh kuna watoto ni visu hatar daah
Nilijisemea
Sasa wakati namfikiria uyo demu nikaskia naitwa
Damii njoo
Nilinyanyuka nikawa na wafuata
Huyu nikijana wangu anaitwa Damich
Damich huyu ni madam wako ndo atakusimamia hadi upate lesenii na nirafiki yangu tulio soma naye yani tulikua kama mapacha maana tulikua tunafwatana kama kumbi kumbii
Nilitabasamu
Damy siunaweza kurudi mwenyewe au
Merry kwan hua wanatoka saa ngapi
Saa 12
Ok siunayo simu
Ndio
Chukua namba ya Jackline
Atakupitia akitoka salon
Ngoja ni ongee naye
Sawa
Ok atakupitia
Damii nifwate nikupeleke Darasanii
Aliongea madam merry
Nilipandishwa gorofan na kuingizwa Darasanii
Niliingia Darasanii kisha nikatafutiwa sehemu ya kukaa
Darasan tulikua wengi kinyamaa
Nilitambulishwa
Kwa uyo mwalimu tulio mkutaa
Kisha nikaruhusiwa kukaa
Baada ya dakika 8 hivi nikashangaa namuona yule dada nilie muona na yeye kaingia na kusimamishwa mbele ya darasa
Huyu ni new comer
Anaitwa neinaa
Muonesheni ushirikiano
Watu walimpigia makofii maana alikua ni ni mzur kinyamaa
Nilikua nipo zangu bizee namsikiliza ticha
Ilipo fika mida ya saa 6 tulipata mapunziko
Aiseeh dah watu walikua wanajipendekeza kwa neina daah
Mara wanamnunulia chips mwingine soda mishkaki dah
Mimi niliwaangalia kisha nikacheka tuh
Nilinunua soda na biskuti nikala nikarudi zangu class
Darasan kulikua amna mtu maana mda bado wa kurudi
Nikawa na soma soma alama za barabarani zilizo bandikwa ukutanii
Nikawa na angalia angalia mara nikaskia mlango umefunguliwa
Nikageuka nika mkuta na naina ndo ameingia
Niliendelea na zoezi langu la kusoma na ku note kwenye simu
Sikutaka kumshobokea
Maana watu walikua wana mshobokea hatarii
Hua kuna kamsemo na penda kusemaa
(Simu ya tecno hua inawatumiaji wengi na sio kwa sababu ni nzuri bali ni kwa sababu ni bei rahisii)
Mda wa break time uliisha watu wakarudi tuka piga kitabu hadii saa 12
Nilimpigia Jackline
Hallo dada nimesha toka nakusubiriii
Sawa nakuja nipo njianii
Nilitoka nje nikawa nimekaa zangu kwenye bench nikawa naskiliza music
Mara neina akaja akaka apemben yangu
Siku msemesha nikawa nipo zangu bize na music
Baada ya dakika kama 13 hivi niliona gari ya Jackline
Nilinyanyukaa na kumfwata nilimuacha neina bila kuongea nae kituu
Nilifungua mlango wa nyuma kisha nika ingia
Wew njoo uku mbele
Nikiamia mbele
Aliwasha gari natukaondoka zetu
Vp dami masomo unaonajee
Magumu siunajua mwanzo
Ila usijalii kadri siku zinavyo enda utayazoea
Kweli eeh
Kweli
Sasa wakati gari linaenda Jackline aliachia mkono mmoja akawa anaangaika kujikuna mgongo
Aliteseka eeh
Damii embu nikune mgongo
Sikuwaza sana
Wap apa
Chini kidogo
Kushoto
Ndio apo kuna
Niliianza kukuna mbona ukuni kitu
Nakuna dada
Embu leta mkono wako alinishikisha kwenye mkanda wa bana nyonyooo a.k.a sidichekaa( sidiria)
Ingiza mkono ndani na ukune kwa chini ya mkanda
Niingize mkono
Ndio kwan ujaniskia au
Basi niliingiza mkono sasa ile naingiza nikawa na gusa gusa mgongo nilifikisha mkono na kuanza kumkuna taratibuu
Maana nikikun kwa nguvu naweza nikamchubua maana ngoz ni laini...kii...ku..
Sahiyo gari lipo speed japo sio sana
Wakati naendelea sasa saangapi akili ikaamaa nikajisahau badala ya kukuna nikaanza kutomasa mgongo.
Uwiii nilijisahau kabisaa
Oyoo Jackline kumbe na yeye kanogewa saangapi asigeukee na kunirukia mdomonii eti nimpe dendaaa alafu ameachia uskanii gari inaenda yenyewee
Nilishtuka baada ya kumuona Jackline kanigeukia nilimpushii pembeni na kuwai uskanii maana
Yesu wanguu mbele kuna gari la mchanga linakuja alafu gari yetu imeama site yake alafu pembeni kuna daladala ya Abiria na imejaza hatarii
Nilichanganyikiwa
Sijui ni pelekee wapi gari
Niache tugongwe au nipeleke ni gonge ni ue habiria
Alafu Jackline mguu wake bado upo chini nilishindwa kuingiza mguu wangu ni ni shike break nilimtingisha Jackline
Wew Jack we jack
Jack alishtuka na wenge badala ya kukanyaga break akakanyaga mafuta kwa nguvu gari likaongeza spidiii
Nilicho fanya nikamfungulia Jackline mkanda kisha nika vuta
Handbrake kwa nguvu zote na kukatisha ustelingi kushoto
Gari ilipiga drift mmoja kaliii
KWA WATAALAMU WATA NIELEWA KWAMBA UKITAKA UPIGE DRIFTING UNAKANYAGA MAFUTA KISHA UNA KATA KONA KALII NA KUVUTA HANDBRAKE
NA SIO KILA GARI LINA DRIFT
Gari ya Jackline ilikubali ku drift na hii ni kwa sababu ni BMW
ndo maanaa
Kisha nika mvuta Jackline upande wanguu
Iliskikaaa
Paaaaaaaa!
Kila mmoja alikata moto tulizimia…………..
ITAENDELEA
USIKOSE SEHEMU 19
Usisahau ku like my page Damich story entertainment Facebook
Kwa ushauri maoni
Nichek WhatsApp 0624032247
Damich ink
Copyright
©Damich 2018®
No comments:
Post a Comment