Tuesday, 3 July 2018

Gangster sehemu 2


Gangster

Sehemu 2

Mtunzi damich

WhatsApp number 0624032247

Instagram……@damich2

Facebook page…. Damich story entertainment

My website….

damichstory.blogspot.com/


Tulipo ishia


Wakati Nancy anafika nyumban simu yake hiliita alipokea iliskika sauti ya mwanaume

Habari yako Nancy

Bado ujaacha tuh kunywa pombe

Nancy alimuuliza

Hivi Damich upo wapi skuzotee

Wew ni nan kila siku nakusubiri

Mimi sina namba yako wew kila siku ni wakunipigia simu tena na namba tofauti tofautii


Simu iyo ilikua inatokea south Africa

Damich alimwambia Nancy kua nipo south Africa kuna ishi mmoja napiga uku nikimaliza nitakuja Tanzania na tuta kutana basi Damich alikata simu


Haijulikani Damich ni nani na ana mahusiano gani na Nancy


*Songa nayo*


Kweny simu ya Damich kuna picha ya Nancy

Baada ya simu kukatika namuona Damich akiipiga busu picha ya Nancy huenda akawa ni mpenzi wake siwezi kujua


Tukiachana na Nancy

Uku upande wa Damich

Anaonekana ameshika mahua na akiingia kweny hotel mmoja kubwa uko south Africa

Damich alikua ni bonge la gaidii na uko south Africa hiyo kazi alio sema anafanya ndo harudi Tanzania

Hilikua ni kazi ya mauajii

Basi dami aliingia akiwa kashika maua na ndani ya kulikua na bastola ndogo

Dami aliingia moja kwa moja adi chooni kisha akatoa ile bastola na kuichomeka nyuma ya mgongo na kujitengenezea vizur na kutokaa na kuzama kweny chumba kimoja na kukuta watu wa nne na kuwacha risasi wote kisha akatokaa


Tukiachana na Damich

Turudi ukuu kwa Nancy


Kwa kitendo cha Damich kumpigia simu kilimfanya Nancy anywe pombe japo alimuhaidii priva kuwa atakunywa pombe


Baada ya hapo alijiandaa kwa ajili ya kwenda triple A kweny iyo bendi ya priva maana alimuhaidii


Basi Nancy alipiga night dress mmoja kali na kutokaa


Baada ya show kuisha priva alimfwata Nancy na kumshukuru kwa kutimiza masharti mawili alio mpaa


Wakati wakiendelea na story Nancy alimuona m baba mmoja naye akiingia baada ya Nancy kumuona huyo mh baba alikumbuka tukio mmoja

Siku mmoja walikua wakiandamwa na risasi na uyo m baba


Binti aliondoka bila kuagaa

Na kwaajili ya priva Nancy alikua tayar kuacha pombe ila baada ya kumuona yule m baba alijikuta anakunywa tena pombee kwa hasira hukuu akiwa ameshika picha ya mtoto mmoja mdogo wa kike ambayo aijulikani ni wapi alipo kwa sasa

Nancy alikunywa pombe akijua kua pombe itampunguzia mawazoo


Baada ya kunywa pombe aliondoka na kuelekea kwa rafiki yake priva

Priva alimkaribisha na kumpa kinywajii

Skia Nancy mbona uliondokaa bila ata ya kuagaa

Niskilize pii

Unamuona yule m baba alio ingia saile yule anaitwa inspekta seba  na nihadui wangu kubwa na huyo ni mmoja Kati ya watu walio niharibia maisha yangu kwa kiasi kikubwa


Na leo ntakuambia kwa nini mimi na kunywa pombe


Mimi nakunywa pombe kwa ajili ya hii picha

Nancy alitoa picha ya kabinti kadogo cha kike kanaitwa charti

Priva alibakii akiishangaa iyo pichaa

Umemuona uyo mtoto ni mtoto wangu na aliuwawa kwa kupigwa risasii na seba na saivi sipo naye tena duniani


Priva aliuliza

Uliwakosea nini police

Siku wakosea chochote police bali kosa langu ni kumpenda gangster muhunii


Ngoja nikupe story ya maisha yangu kabla ya kufikia hatua hii


Mimi nilikua ni binti mmoja mzuri na nilikua sipendii kabisa pombee


Nakumbuka priva skuiyo

Damich na mwenzake walikua wakikimbizwa na mapolisii mitaa ya ngarenaro Arusha na Mimi nilikua na kaa ngarenaro sasa wakati wakiandamwa na mapolisi Damich pamoja na mwenzake waliingia ndani kwangu na kunikuta na osha vyombo

Damich alichomoa bastola na kuninyooshea baada ya kugundua ni wakike alirudisha chini


Baada ya dakika chachee polisi waligonga mlangonii kwa Nancy


Nancy alifungua na kuwaambia wanataka nini

Polisi walijieleza na binti akawaambia amna mtu apaa

Basi polisi waliondokaa


Baada ya polisi kuondoka damii alitaka atokee

Nancy alimwambia usitoke saivi polisi watakua wajafika mbalii

Wew tulia utatokaa asubui


Nancy alitokea kumuamini damii bila kujali alikua ni gaidii wala nini

Asubui aliondoka

Na sikutegemea kumuona tenaa


Ukumbuke hiyo ni story Nancy anamuadisia privaa


Baada ya siku kazaa kupita Damich alirudi kwa ajili ya kumshukuru Nancy


Damich alinipenda

Na maisha yalisongaa kiukwel ata mm nilimpenda na kama unavo jua mapenzi upofuu

Nilimpenda hivyo hivyo

Nikawa shemeji wa wahunii

Siku mmoja nikiwa nipo na Nancy tajiri yakee damii aliingia

Kumbe damii alikua na tajiri yake walio muita mr David

Siku iyo David anaingia damii aliniambia niendee ndani

Mr david alishangaa kumuona damii akiwa na mwamke

Na alimshaurii dami aachanee na mwanamke

Ila damii aligoma na aliachana na tajiri yake na maisha yalisonga


Damich aliendelea na kazi yake ya ujambazi kwa kujimilikii mwenyew na kwanzia nimeanza kuishii na damii hakuwai ata siku mmoja kunigusa alisubiri adi tulipo funga ndoa ndo akanigusa na tulibahatika kupata mtoto wa kikee


USIKOSE SEHEMU 3

WhatsApp / 0624032247

Damich story entertainment


Copyright

©Damich story ®

2018

No comments:

Post a Comment