Gangster
Sehemu 1
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page…. Damich story entertainment
My website….
damichstory.blogspot.com/
MWANZO
Hilikua ni usiku mmoja mvua ilikua ikinyeesha sanaa
Maeneo ya barabarani kulikua na gari moja aina ya range rover
Ndani ya gari hiyo kulikua na watu wawili mmoja wa kike anaye itwa Nancy na mwingine wa kiume anaitwa petro
Petro alikua ni bubuu hawezi kuongea
Namuona kijana petro ana kokii bastola na kumkabidhii Nancy
Sasa sijajua walikua na mpango ganii
Namsikia Nancy akimwambia petro
Nihaidi utafanya kama ulivyo ni aidii
Baada ya maongezi hayo Nancy alichukua bastola na kushuka kweny garii
Alipanda kweny jengo moja refu lenye roshenii 10 kuelekea juu
Basi Nancy alipanda lifti na kuelekea juu
Ukumbuke ameshika bastola na sijui ni tukio gani anaenda kulifanya
Usiwe na haraka ni mwanzo tu utaelewa usiwe na haraka
Basi Nancy aliendelea kupanda juu
Alifika juu katika Room aliyo kusudia kufikaa
Alipo fika mlangonii aligongaa
Baada ya kufunguliwa mlango Nancy alimpiga kijana mmoja risasi kama nne hivi
Baada ya hapo Nancy alionekana akishuka speed kwa kutumia ngazi za kawaida, maana alipo kua anakuja alitumia lift,ila wakati amesha fanya tukio anaonekana akishukaa haraka kuelekea chini
Sasa yule kijana alie pigwa risasi,alijikongoja na kufungua droo iliyo karibu yake na kuchomoa bastola yake na kumchapa Nancy risasi mmoja ya bega la kushoto na binti aliangukaa pale palee
Baada ya dakika chachee iliskika ving’ora vya ambiulensi pamoja na vya polisii
Hali ya yule kijana na Nancy zilikua mbaya tena mbaya sanaa
Ni mwanzo mwanzo tu
Sijuu ni mkasa ganii umewafanya hawa watu wapigane risasii
Basi waliingizwa kweny chumba cha I.c.u tayar kwa kutolewa risasii iliyo ndani ya mwili wake
Na yule kijana alikua yupo kweny chumba kingine na Hali yake ikiwa ni mbaya kuliko ata Nancy
Wakati Nancy akitolewa risasi alianzaa kukumbukaa sababu ya matatizo yalio mpata
Hadi kufikia hatua ya kupigana risasii
Sasa kaa vizur ndo inaanza
Nancy anasema
Katika maisha yangu Nimeishii na kukutana na mambo mengi
Ila lipo Jambo mmoja lililo nifanya mpaka leo kufikia katika hali hii
Na mi nipo hapa kutaka kuku eleza ni nini kilichonisibu paka leo hii nipo hivii
Nancy alisema yeye alijikuta akiishi south Africa na wakati alikua ni mtanzania
Pia Nancy alikua mlevii sana wa pombee
Miezi 6 kabla ya Nancy kupigwa risasii
Ilikua ni usiku mmoja watu walikua wana u karibisha mwaka mpya
Uko Tanzania
Nancy alikua na rafiki yake wa kiume anaitwa priva
Nancy alikua anakunywa sana bombe siku hiyo akiwa na rafiki yake pii ama privaa
Priva alijitaidi kumzuia Nancy asinywe bombe sana
Lakini Nancy alikua akinywa sana pombe
Na hii ni siri yake ambayo anajaribu kutuelezaa ni nn mkasa ulio mkuta adi kufikia hatua ya kunywa pombe kihasi ichoo
Baada ya kunywa pombe
Priva alimpandisha Nancy kweny piki piki na tayar kumsindikiza nyumba
Priva alimuuliza Nancy
Hivi Nancy una huadui gani na haya maisha mpaka kua mlevii kihasi ichoo
Hii ni Siri ya maisha yangu nitakuambia hila sio kwa sasa hivii
Walipo kuwa wanakaribia kufika Nancy akimwambia priva asimamishe piki piki na binti alishuka
Priva ilibidi amuulize Nancy,hivi ni kwa nini kila nikikusindikiza nyumban unaishia njianii na hutakii nipajue kwakoo
Na urafiki wetu ni zaidi ya miezi 3
Nancy alimwambia usiwe na haraka utapajua tuh lakinii sio leo
Priva alikubalii na kumwambia Nancy naomba nikupe masharti mawili
Sharti la kwanza usinywe pombe tena
Sharti la pili naomba uje triple A kweny bendi yanguu
Priva alikua ni mwanamziki wa happy bendi uko Tanzania
Basi Nancy alikubalii na kumuhaidii priva kua ata huzuria
Basi binti aliondokaa
Wakati Nancy anafika nyumban simu yake hiliita alipokea iliskika sauti ya mwanaume
Habari yako Nancy
Bado ujaacha tuh kunywa pombe
Nancy alimuuliza
Hivi Damich upo wapi skuzotee
Wew ni nan kila siku nakusubiri
Mimi sina namba yako wew kila siku ni wakunipigia simu tena na namba tofauti tofautii
Simu iyo ilikua inatokea huko south Africa
Damich alimwambia Nancy kua nipo south Africa kuna ishi mmoja napiga uku nikimaliza nitakuja na tuta kutana basi Damich alikata simu
Haijulikani Damich ni nani na ana mahusiano gani na Nancy
USIKOSE SEHEMU 2
WhatsApp / 0624032247
Damich story entertainment
Copyright
©Damich story ®
2018
No comments:
Post a Comment