Gangster
Sehemu 9
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page…. Damich story entertainment
My website….
damichstory.blogspot.com/
Tulipo ishia
Sasa cha ajabuu bintii alishangaa anaskia sauti yake akiongea ubalozinii
Sasa alijiuliza hii sauti yangu ina fanya nini ubalozinii alijikuta anapata shaukuu ya kujua kinacho endelea
Wakati binti anaendelea kushangaa alitaamakii
Songa nayo
Anashangaa kumuona inspecta seba akiwa na priva Wamekaa pamoja na waandishii wa habarii
Wakiwa photoa picha
Alafu nyuma yao wamewasha projecta ikawa inaoneshaa sinemaa
Ooh shiiitiii kumbe
Alirecodiwa ile siku anatoa Hadith yakee juu ya maisha yake na alivo kutana na damii
Privaa alianza kuojiwa na waandishii wa habarii
Kwa kuipenda inchi yangu
Tumefanikiwa kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja
Cha kwanza tumefanikiwa kutengeneza. Movie inayo muhusu muhunii pamoja na mke wake muhunii
Pili tumefanikiwa kumkamata uyo muhunii
Sikuzote ukitaka kumkamata samakii mkubwa lazima umtegee samakii mdogo
Kwaiyo nilitumia samaki mdogo kumkamata samakii kubwa
Nilitumia ujanja ujanja wa kimapenz kumkamata uyo damich
Kwa sasa Damich yupo mikononi mwa polisi anasubiriwa akanyongwe
Watu walimpigia makofiii
Nancy dakika ya mwisho ndo anakuja kujua kwamba priva alikua ni tapelii na hakua na mapenzi ya ukwel ata kidogo yeye shida yake ni alitakaa kumkamatishaa Damich mikononi mwa polisi kwa kumtumia mke wake
(Soma kama mtuu mwenye hasira)
Sasa Nancy alimpandisha sumu ya hatar
Nancy alimwambia shetanii wewee
Ntakuuua
Ntakuuua
Pale palee
Mbele ya waandishii wa habarii alimkamata
Nakuchukiaa
Jamaa alimvuta pembeni alimpiga vibaoo
(Soma kitaratibu kama mtu mwenye huzuni,)
Kwa nini umenifanyia kitu kama ichii
Kumbe maisha yangu ulikua ukiyafanya kama sinemaa
Mimi najua kua una nipenda kumbe una nitania
Ukachezea mwili wanguu mpaka ukanipaa na mimbaa
Kumbe ulikua unanitaniaa
Sasa priva akamjibuu kwa ujasirii
(Soma kama mtuu jasirii)
Sasa Mimi nilikua sikupendii
Mimi nilikua na tafuta pesaa na nilikua na fanya kazii
Wewe ni muhunii ni muhunii tuh na mume wakoo ni muhunii vile vile
Uliyatoa maisha yako kwa muhunii hivyo na wew ni muhunii
Mimi siwezi kua na mwanamke kama wewe
Mimi siwezi kua na mwanamke kama wewe ambae ulisha pata mumee akakuzalishaa
Nitembee na wewee
Niiishii na wewe
Mimi nilikua na tafuta pesaa
Kupitia story yako na mumeo Mimi nime pata pesaa
Privaaaaaaa
Tokaaaaaaaa tena usiniwazee katika maisha yako yotee
Aita kaa iwezekane ata siku mmoja Mimi kuishii na mtuu kama wewe
Binti alikua anapigaa ke lelee
Muhuniiiii
Muhuniiiiii
Muhuniiiii
Priva akaamrisha walinzii
Mtoeniii njee
Basi binti alitolewa njeee
Ukuu akitukanaaaa
Shetanii wewee
Utakufaaa
Mbwaa wewe
Dooho inasikitisha sanaa aiseeh
Maskini Nancy ana ata baba wa kumteteaa ana ata mama wa kuingilia katii ili swalaa maskinii
Mume ndo hivyo anakwenda kunyongwa
Yeye mwenyewe ndo kamuuza mumewee
Kwa ajilii ya priva na privaa ndo uyoo kumbe kamtapeliii kimapenz aiseeh
Na uku upande wa priva yeye anaona ni sawa kabisa kwa sababu anapata pesa kwa kutumia story ya Nancy na DAMICH
Niniii kitafuataa
ITAENDELEA
USIKOSE SEHEMU 10
Ambayo ni mwisho kabisaa
WhatsApp / 0624032247
Damich story entertainment
Copyright
©Damich story ®
2018
No comments:
Post a Comment