Gangster
Sehemu 3
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page…. Damich story entertainment
My website….
damichstory.blogspot.com/
Tulipo ishia
Siku mmoja nikiwa nipo na Nancy tajiri yakee damii aliingia
Kumbe damii alikua na tajiri yake walio muita mr David
Siku iyo David anaingia damii aliniambia niendee ndani
David alishangaa kumuona damii akiwa na mwamke
Na alimshaurii dami aachanee na mwanamke
Ila damii aligoma na aliachana na tajiri yake na maisha yalisonga
Damich aliendelea na kazi yake ya ujambazi kwa kujimilikii mwenyew na kwanzia nimeanza kuishii na damii hakuwai ata siku mmoja kunigusa alisubiri adi tulipo funga ndoa ndo akanigusa na tulibahatika kupata mtoto wa kikee
Endelelea
Basi tuliamua kuhama nchi na kuelekea south Africa
Damii alinihaidii tukifika uko ataacha kazi ya kijambazii
Siku mmoja tukiwa tupo barabarani mim mumewangu pamoja na mtoto wetu tulishangaa tunashambuliwa kumbe inspecta seba aliomba kibali cha kunifatilia adi uko south Africa ilimradi atukamatee
Tulikua tunakimbia uku mvua ya risasi ikituandamaa
Tulifanikiwa kuwakimbia polisi
Sasa wakati na mgeuza mwanangu nilishangaa kushika damu nilipo mgeuza chartii nilikuta tayar amesha iagaa duniaa
Chaaaa chaaa chaaaa
Niliita kwa uchungu mkubwa lakini charti wetu alikua amesha kufaa
Ni lilia sanaa
Nawakati anatoa Hadith hiyo alikua akilia hivyo hivyo maana uchungu bado anao na mume bado anaandamwa na polisi hivyo atulii na familia yakee
Na hiyo ndo sababu ya kunywa pombee
.
Basi Nancy alimaliza story yakee
Basi privaa alimsindikiza Nancy adi kwakee na priva aliishia mlangonii
Nancy alimwambia hutakii kuingia ndanii
Kwa mara ya kwanza Nancy anamkaribisha priva kwake
Sikuzote walikua wakiishia njianii ila leo ana mkaribishaa
Priva alipo ingia ukutanii aliona picha ya Nancy,mumewe pamoja na mtoto wake
Priva alimwambia Nancy ukitaka kuanza Mambo mapya sahau ya dhamanii
Naomba umsahau uyo mwanaume msahau na huyo mtoto
Mimi sitakii kuona machozi yako wakati na kupenda na nipo tayar kuku oa naomba tuanze kurasa mpya
Naomba tuishii pamoja
Binti alikubalii Na mapenzi yalianza na yalikua moto moto
Waliivunja amri ya sita bila hurumaa(wali sex)
Nancy alisahau ndoa alio funga na mume wakee
Asubui yake priva aliondoka na kwenda kwenye miangaiko yakee ya kila siku
Uku nyumban kwa Nancy
Saangap Damich ajaingia na kumwambia mke wake ameshuhudia kila kitu
Alikuja jana usiku na haliona kila kituu
ITAENDELEA
USIKOSE SEHEMU 4
WhatsApp / 0624032247
Damich story entertainment
Copyright
©Damich story ®
2018
No comments:
Post a Comment