Gangster
Sehemu 7
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page…. Damich story entertainment
My website….
damichstory.blogspot.com/
Tulipo ishia
Pora utoe taarifa kituo cha polisi Damich akamatwee
Binti alisema apanaa
Priva alimwambia sio nafanya hivi na mchukia damii ujanielewaa
Acha polisi wa mkamate kafanya ualifu mwingi
Husipo mkamatisha kwa polisii polisi waki mkamata wata mpiga risasi wata muua
Cha kumsaidia akamatwee na polisi apate adhabu yakee akimaliza ata achiwaa
Binti aligoma kabisaa
Embu tafakarii
Binti alitafakariiiiii
Songa nayo
Basi binti aliondokaa na kwenda walipo panga kukutana na dami ili wapande zao ndegee wa rudii Tanzania
Binti alikaa bila kumuona damiii
Alijua damii atakuwa ame mdanganyaa
Basii aliamua zake kuondoka sasa wakati anaondokaa
Mara anaskia sautii ya mtuu anaguna kwa maumivuu alikua ni damii
Amechakaa yupo hoi
Jamaa alijisogeza karibu na mke wakee kisha akatoa passport na visa na kumuonesha mke wake
Wakati Nancy amemkombatia damii inaskika vi ng’ora vya polisi
Aiiiiseeh kumbe Nancy aliamua ku msikilizaa priva dooh
Kwamba amkamatishe kwa polisi na hatimaye atakuja kutokaa dah
Dami leo hii kwa kumuamini mwanamkee anakamatwa na polisi
Haku amini
Mwanamkee ni kiumbe dhaifuu sanaa
Kwa kushawishiwa na Nancy ka sahau miaka 5 alio ishii na mume wakee
Kasahau jamaa aliacha ujambazi kwa ajili yake
Daah aiseeh
Damii alilia kwa uchungu mkubwa mnooo
Yani anaacha ualifu na ndo siku anayo kamatwa
Aiseeh aliliia inaumaaa aiseeh
Aaaaaiiiiiiaaaaaiiii iiiiiiiihiii ahaaiiiiii iiiiiiiiii
Alikamatwa kilaini mno,kirahisii
Aiiiiii aiiiiiiii
Iiiii
Wakamuingiza kweny garii
Nancy Alijua amemsaidia lakinii wapii
Ukiangalia damii alikua ni mualifu mkubwa hivyo awezii kuachiwa hivi hivi ni lazima apewe hukumu ya kunyongwa
Bintii alijua amesha msaidia damii na nibora akaishii na privaa
Mume ambaye kwa sasa ana mimbaa yakee
ITAENDELEA
USIKOSE SEHEMU 8
WhatsApp / 0624032247
Damich story entertainment
Copyright
©Damich story ®
2018
No comments:
Post a Comment