She is my boss
Sehemu 20
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page…. Damich story entertainment
My website….
http://damichstory.blogspot.com/
Tulipo ishiaishia
Jackline kuskia hivyo alianza kuliaa
Tena alilia sanaa
Mr freymar na mke wakee walishangaa na kujiuliza maswal mengi
Unajua kwa nini ana lia
Zipo sababu mbili za msingi
Sababu 1
Ubongo ni sehemu ambayo ni muhimu sana na ndo maana imefichwa na fuvu gumu la kichwa pia ha itakiwi kisumbuliwe kabisa maana huna weza kufa au kuwa kichaa
Sababu ya piliii…….utaijua mbeleee
ENDELEA
Tukiachana na upande wa kina Jackline
Huku upande wa India
Ma daktari walikua bize sana
Damich yeye alikua aelewi kabisa kinacho endelea
Alifanyiwa operation ya kicha
Kisha wakachukua chemical moja hivi inaitwa (RBD)
Repair bone's damage
Chemical hiyo imekaa kwenye mfumo wa kimiminika na ipo kama mifupaa kwaiyo walicho kua wakifanya wale ma doctor ni kuimiminia ile sehemu yenye krekii kwenye SKULL fuvu la kichwa
Upande wa Tanzania
Maeneo ya kanisani anaonekana Jackline akiwa amepiga magoti aki ongea
Eeh mungu naomba hutie mkono wako babaa,naamini hakuna kinacho kushindaa baaba
Tia mikono yako juu ya madaktari wale maana si kwa ujuzi na utaalamu wao bila wew wao sio kitu
Tenda miujiza baba tenda baba naomba na kushukuru Amina
Pale pale anaingia Mr Freymar
Alipo muona Jackline alipumua kwa nguvu
Uhuuuh
Sasa mwanangu kwa nini umetutorokaa hospital
Na simu umezima mwanangu Eeh
Baba amna humuimu wa kuendelea kukaa pale hospital wakati sijui damii anaendelea je?
Mwanangu twende ukale kwanza Basi jamanii
Baba naomba uniachee
Mr Freymar anatoka nje ya kanisa na kutoa simu mfukoni na kumpigia mke wake, Hallo mke usiangaikee nimesha mpata yupo kanisa la moyo mtakatifu, naomba uje haraka maana anagoma kutoka,namwambia twende akalee ataki, wewe nisubiri nakuja mda si mrefuu, latipha alifika hospital na kuanza kum bembeleza mtoto wake
Lakini Jackline aligomaa
Mwanangu twende ukale kwanza kisha tuta wapigia video call na utamuona Damii sawa
Sawa mama
Basi Jackline alikubali wakaenda nyumban wakala akaoga kisha
Mr frey akatoa laptop yake na kuchomeka moderm na kumpigia mwanae Jackie
Hallo mwanangu
Shkamoo nii
Unaendelea je mwanangu
Safi tuh
Damii anaendelea je
Damiii anaendelea vizur operation imekamilikaa
Tuna subirii azindukee tujue kama yupo sawa
Ok mwanangu pesa bado ipo au imeishaa
No daddy bado ipo usijalii
Ok mchana mwemaa
No daddy saivi ukuu ni usiku
Hahaha Sawa good night mwanangu
Baada ya siku hiyo kupita
Siku iliofwata Damii alizindukaa
Akakaa kitandani akawa anashangaa shangaaa tuh
Madaktari walikua wakimuangalia kupitia CCTV camera
Damii alikaa akashangaa kisha akarudii ku lala
Madaktari wali wai na kumchukua kumpeleka kwenye scan machine
Wakawa wana mkagua
Fuvu lilikua limejiunga vizur
Wakawa wanapongezanaa
Walikombatiana
Sasa daktari mmojaa wa kike anaye Itwa pujaa
Aliongea mr malotra subirii
Puja alikua ameshika mouse ya computer aka zoom
Oh sheet
Umeonaa hii
Maskini ya munguu aiseeh huwezi Amini kumbe lile fuvu lilivo pata krekii
Na ubongo wa damiii
Medulla oblongata ulikua umegawa nyikaa mara mbiliii kwa nyuma
Ila uja gawanyika wotee
Umegawa nyikaa nusuu
Madaktari wote walikosa rahaa
Maana amnaga operation ya ubongo
Eti useme utaushonaa
Lakini mr malotra aliongea
Nakumbuka mwaka flanii hivii kuna mtoto alizaliwa ubongo wake wa medulla oblongata umejigawa hivii sema sina hakika Kama ni kama huu wa damii
Unakumbukaa ilikua ni lini puja aliongea
Ilikua ni kama mwezi wa 8 hivii mwaka 1997 kitu kama ichoo
Pujaa aliingia kwenye computer na ku search huo mwaka na kuanza kuchunguza video
Bahati nzuri waliipata hiyo video
Wakaangalia Kwa umakiniii
Na kufananisha na damii
Hii ina fanana kabisa si umeona
Ule mgawanyiko wa medulla oblongata wa damii na ule mtoto una fanana saizii
Hilikua ni habari nzuri
Maana huyo mtoto wanao mzungumzia saivii ni Genius wa hatarii yanii Ha shkiki
Sasa hina bidi tumfanyie uchunguzii Kwanza kama atakua na upeo mkubwa kama yule mtoto au atakuajee
Maana wametofautiana yule mtoto kazaliwa akiwa hivyo ila huyu damii yeye kapata ajalii ndo akawa hivyoo
Basi madaktari walitoka na kwenda kwenye chumba cha Damii kwa ajili ya uchunguzii
Walipo ingia tuh dami alinyanyukaa
Kisha akawa ana washangaa
Hello
Puja aliongea
Lakini damii alikaa kimya
Hey
Damii alinyanyua mdomo na kujaribu kurudi yale maneno ya puja lakini alishindwa
Hey
Bado alijaribu lakini wapii
Ilibidi wamuite Jackie
Huyu alikua anaongea
Jackie alipo muona damii kaamka alifurahi
Ndio anaongea
Sasa mbona namsemesha ajibuu
Damii mambo
Damii alishangaa
Damiii mambo
Dami tena alijaribu kurudi yale maneno lakini hawezii
Madaktari walipata jibu kuwa damii kapoteza kumbu kumbu
Akumbukii kituu chochotee
Hadi kuongea hakumbukii
HAHAHA HII NDO SAWA NA WAKOSOA WAIGIZAJI WA MOVIE
ETI WANA SEMA MTU KAPOTEZA KUMBU KUMBU LAKINI CHA AJABU ANAJUA KUONGEA KIINGEREZA AU KISWAHILI
UTAPOTEZA JE KUMBU KUMBU ALAFU UJUE KUONGEA
Sasa Mimi nimepoteza kumbu kumbu yani sijui chochote ata kuongea sijui
Nipo kama mtoto aliye zaliwa
Sijui kitu kabisaa
ITAENDELEA
USIKOSE SEHEMU 21
Usisahau ku like my page Damich story entertainment Facebook
Kwa ushauri maoni
Nichek WhatsApp 0624032247
Damich ink
Copyright
©Damich 2018®