Tuesday, 10 July 2018

She is my boss sehemu 20


She is my boss

Sehemu 20

Mtunzi damich

WhatsApp number 0624032247

Instagram……@damich2

Facebook page…. Damich story entertainment

My website….

http://damichstory.blogspot.com/

Tulipo ishiaishia


Jackline kuskia hivyo alianza kuliaa

Tena alilia sanaa

Mr freymar na mke wakee walishangaa na kujiuliza maswal mengi

Unajua kwa nini ana lia

Zipo sababu mbili za msingi

Sababu 1

  1. Ubongo ni sehemu ambayo ni muhimu sana na ndo maana imefichwa na fuvu gumu la kichwa pia ha itakiwi  kisumbuliwe kabisa maana huna weza kufa au kuwa kichaa

  2. Sababu ya piliii…….utaijua mbeleee


ENDELEA


Tukiachana na upande wa kina Jackline

Huku upande wa India

Ma daktari walikua bize sana

Damich yeye alikua aelewi kabisa kinacho endelea

Alifanyiwa operation ya kicha

Kisha wakachukua chemical moja hivi inaitwa (RBD)

Repair bone's damage

Chemical hiyo imekaa kwenye mfumo wa kimiminika na ipo kama mifupaa kwaiyo walicho kua wakifanya wale ma doctor ni kuimiminia ile sehemu yenye krekii kwenye SKULL fuvu la kichwa

Upande wa Tanzania

Maeneo ya kanisani anaonekana Jackline akiwa amepiga magoti aki ongea

Eeh mungu naomba hutie mkono wako babaa,naamini hakuna kinacho kushindaa baaba

Tia mikono yako juu ya madaktari wale maana si kwa ujuzi na utaalamu wao bila wew wao sio kitu

Tenda miujiza baba tenda baba naomba na kushukuru Amina


Pale pale anaingia Mr Freymar

Alipo muona Jackline alipumua kwa  nguvu

Uhuuuh

Sasa mwanangu kwa nini umetutorokaa hospital

Na simu umezima mwanangu Eeh

Baba amna humuimu wa kuendelea kukaa pale hospital wakati sijui damii anaendelea je?

Mwanangu twende ukale kwanza Basi jamanii

Baba naomba uniachee

Mr Freymar anatoka nje ya kanisa na kutoa simu mfukoni na kumpigia mke wake, Hallo mke usiangaikee nimesha mpata yupo kanisa la moyo mtakatifu, naomba uje haraka maana anagoma kutoka,namwambia twende akalee ataki, wewe nisubiri nakuja mda si mrefuu, latipha alifika hospital na kuanza kum bembeleza mtoto wake

Lakini Jackline aligomaa

Mwanangu twende ukale kwanza kisha tuta wapigia video call na utamuona Damii sawa

Sawa mama

Basi Jackline alikubali wakaenda nyumban wakala akaoga kisha

Mr frey akatoa laptop yake na kuchomeka moderm na kumpigia mwanae Jackie

Hallo mwanangu

Shkamoo nii

Unaendelea je mwanangu

Safi tuh

Damii anaendelea je

Damiii anaendelea vizur operation imekamilikaa

Tuna subirii azindukee tujue kama yupo sawa

Ok mwanangu pesa bado ipo au imeishaa

No daddy bado ipo usijalii

Ok mchana mwemaa

No daddy saivi ukuu ni usiku

Hahaha Sawa good night mwanangu


Baada ya siku hiyo kupita


Siku iliofwata Damii alizindukaa

Akakaa kitandani akawa anashangaa shangaaa tuh

Madaktari walikua wakimuangalia kupitia CCTV camera

Damii alikaa akashangaa kisha  akarudii ku lala

Madaktari wali wai na kumchukua kumpeleka kwenye scan machine

Wakawa wana mkagua

Fuvu lilikua limejiunga vizur

Wakawa wanapongezanaa

Walikombatiana

Sasa daktari mmojaa wa kike anaye  Itwa pujaa

Aliongea mr malotra subirii

Puja alikua ameshika mouse ya computer aka zoom

Oh sheet

Umeonaa hii

Maskini ya munguu aiseeh huwezi Amini kumbe lile fuvu lilivo pata krekii

Na ubongo wa damiii

Medulla oblongata ulikua umegawa nyikaa mara mbiliii kwa nyuma

Ila uja gawanyika wotee

Umegawa nyikaa nusuu

Madaktari wote walikosa rahaa

Maana amnaga operation ya ubongo

Eti useme utaushonaa


Lakini mr malotra aliongea

Nakumbuka mwaka flanii hivii kuna mtoto alizaliwa ubongo wake wa medulla oblongata umejigawa hivii sema sina hakika Kama ni kama huu wa damii

Unakumbukaa ilikua ni lini puja aliongea

Ilikua ni kama mwezi wa 8 hivii mwaka 1997 kitu kama ichoo

Pujaa aliingia kwenye computer na ku search huo mwaka na kuanza kuchunguza video

Bahati nzuri waliipata hiyo video

Wakaangalia Kwa umakiniii

Na kufananisha na damii

Hii ina fanana kabisa si umeona


Ule mgawanyiko wa medulla oblongata wa damii na ule mtoto una fanana saizii


Hilikua ni habari nzuri

Maana huyo mtoto wanao mzungumzia saivii ni Genius wa hatarii yanii Ha shkiki


Sasa hina bidi tumfanyie uchunguzii Kwanza kama atakua na upeo mkubwa kama yule mtoto au atakuajee

Maana wametofautiana yule mtoto kazaliwa akiwa hivyo ila huyu damii yeye kapata ajalii ndo akawa hivyoo


Basi madaktari walitoka na kwenda kwenye chumba cha Damii kwa ajili ya uchunguzii

Walipo ingia tuh dami alinyanyukaa

Kisha akawa ana washangaa

Hello

Puja aliongea

Lakini damii alikaa kimya

Hey

Damii alinyanyua mdomo na kujaribu kurudi yale maneno ya puja lakini alishindwa

Hey

Bado alijaribu lakini wapii

Ilibidi wamuite Jackie

Huyu alikua anaongea

Jackie alipo muona damii kaamka alifurahi

Ndio anaongea

Sasa mbona namsemesha ajibuu

Damii mambo

Damii alishangaa

Damiii mambo

Dami tena alijaribu kurudi yale maneno lakini hawezii


Madaktari walipata jibu kuwa damii kapoteza kumbu kumbu

Akumbukii kituu chochotee

Hadi kuongea hakumbukii

HAHAHA HII NDO SAWA NA WAKOSOA WAIGIZAJI WA MOVIE

ETI WANA SEMA MTU KAPOTEZA KUMBU KUMBU LAKINI CHA AJABU ANAJUA KUONGEA KIINGEREZA AU KISWAHILI

UTAPOTEZA JE KUMBU KUMBU ALAFU UJUE KUONGEA


Sasa Mimi nimepoteza kumbu kumbu yani sijui chochote  ata kuongea sijui

Nipo kama mtoto aliye zaliwa

Sijui kitu kabisaa



ITAENDELEA


USIKOSE SEHEMU 21



Usisahau ku like my page Damich story entertainment Facebook


Kwa ushauri maoni

Nichek WhatsApp 0624032247



Damich ink

Copyright

                         ©Damich 2018®


Saturday, 7 July 2018

Gangster sehemu 10


Gangster

Sehemu 10

MWISHOO

Mtunzi damich

WhatsApp number 0624032247

Instagram……@damich2

Facebook page…. Damich story entertainment

My website….

damichstory.blogspot.com/


Tulipo ishia


Mume ndo hivyo anakwenda kunyongwa

Yeye mwenyewe ndo kamuuza mumewee

Kwa ajilii ya priva na privaa ndo uyoo kumbe kamtapeliii kimapenz aiseeh


Na uku upande wa priva yeye anaona ni sawa kabisa kwa sababu anapata pesa kwa kutumia story ya Nancy na DAMICH


Songa nayo


Nancy ndo akaamua kurudia pombe mara kumiii ya mwanzo

Sasa hivi ni pombe na yeye

Yeye na pombee


Yanii maisha ya bintii ndo yameharibikaa kuliko ata mwanzo


Siku zotee maisha yanakupeleka yanavyoo takaa maisha

Wala huwez kuyapelekaa maishaa ata siku mmoja


Mungu peke yakee ndo anawezaa kuyapeleka maisha na kukupangia pale anapo taka wew uishii

Na ukiishii kwa kumtegemea munguu mtuu wanguu

Mambo kama ayaa hayawezii kukukutaa

Na huwez kufikia hatua ya kunywa pombe kama hivii


Nancy yeye ana munguu

Ana baba

Ana mama

Wala ana mumee

Pombee ndo kitu kilicho karibu yake na ndo amekua rafiki yake wa karibuu


Yanii kiukwel Nancy amepoteza kabisa dira ya maisha yakee


Akiwa katika halii mbaya skumoja yule bubu petro alumtokea

Rafiki yakee na damii

Alimtazamaaa Nancy

Alimpiga vibao


Shemeji wa kipumbavuu huyuu

Petro alichomoa bastola na kutaka kumpiga risasi ya kichwa

Lakinii ni shemeji yakee huyuuu

Binti ana mwambia ni ue

Tafadhalii naomba uni ue

Ni ue si stailii ni ishii dunian


Petroo alitoa barua ambayo damich aliiandika

Pamoja na passport


Ahaaa ahaaha ahaa

Bubu alikua akilalamikaaa


Hii ni barua ambayo damich aliamua ku iachaa


Siku tegemea Nancy

Kama unge weza kunisalitii kwa kiasii kikubwa namna hii

Angali Mimi niliamua kuacha vyote kwa ajilii yako, lakini wewe ulishindwa kuacha yote kwa ajili yanguu,sina kinginee nilicho bakiwa nacho kwa sasa,serekalii itakwenda kuniukumuu kifoo kutokana na ualifu nilio ufanyaa tokea kitambo,na ningelikua nimetorokaa na kurudi Tanzania, ningelikua na maisha ya amanii

Na ualifu ninge uachaa na dunia inge sahau ualifuu nilio utendaa na jina linge futikaa kabisa,na kwa ajili yako Mimi Leo naendaa kufaa,kila laherii hishii na huyo mwanaume ulio onaa anastailii,

Na kama ukiona umeshindwa kuishii na uyo mwanaume nime mtuma petro akuletee passport upande ndege hurudii Tanzania maana mimi sikukutolea uku south Africa

Hivyo siwezi kuku acha ukuu


Leo Damich kesi yakee imesikilizwa mahakamani na ameukumiwa kifoo na mahakama ya huko huko south Africa

Maana alisumbua kwa mdaa mrefuu



Sasa tunarudii mwanzo kabisaa katika sehemu ya kwanza

Pale mvua ilipo kua ikii nyeesha na kuna range rover moja ambayo ilikua imepakii barabarani

Ndani ya gari hilo palikuepo na Nancy pamoja na petro yule bubu

Ndo pale bintii anachukua bastola ya petro na kumuambia

Na omba unihaidii kitu ki moja petro

Baada ya Mimi kumpiga risasi mtuu uyuu na kumu Ua niahidii utakuja kunipiga risasi na Mimi nifee

Nancy alitamani kufaa lakini hakutakaa kumuacha mtu aliye haribu  maisha yakee aishii  alipanga ampige risasi kisha na yeye apigwe risasi na Petro afee kabisa na ndo palee Nancy anachukua lift ana amua ku pandaa juu

Na hapa ndo mwanzo wa story ilipo hanziaa

Nancy aliingia kwenye chumba cha privaa

Alikutana nayee huso kwa husoo

Nancy akumkopeshaa

Alimpiga risasi  nne za kifua sasa Nancy akawa anashukaa ili petro na yeye akampige risasi

Lakinii priva alijitaidi na kufungua droo na kuchomoa bastola yake na kumpiga Nancy risasi katika bega la kushoto

Nancy alidondoka

Na ndo palee walipo chukuliwa na kupelekwa hospital

Anamaliza kumbu kumbu yakee alio kua akikumbukaa na saiyoo yupo juu ya gorofa


Kama unakumbuka binti alitakaa kufa ndo maana alichomoa mirija ya dripu na kupanda juu ya gorofa


Upande wa pilii Damich na yeye ndo anavishwa kitambaa cheusi ana nyongwa na bintii ana jiachia juu ya gorofa


Sasa wakati Nancy anaondokaa anajiona amedondoka kweny sehemu Safi yenye maUa ya kuvutia majnii ya kupendezaa

Saiyo bado ajafika chini


Anaona akifikaa atakutana na mume wakee  pamoja na mtoto wao charti wakimsubirii

Na yeye atafika na kuishii kwa raha mustareeh

Uko ambako akuna mafua wala maleria

Na atamkumbatia mumewakee pamoja na mtoto wake

Saiyoo wotee awapoo dunianii

Damich ayupo charti pamoja na yeye mwenyewe


***MWISHOO***


Ndugu yanguu hizi ni hadithi ambazo zipo hapa Hapa dunianii

Na nimeleta mahususii kwa ajili ya wewe unaye somaa story hii


Ni kwamba aya ni maishaa tuh ya watu wenginee na hukitaka na wewe usifikie hatua kama hii

Unaweza ukachukua point mbili,tatuu ambazo zitakufaa na ukatumia katika kuendesha maisha yako yakawa sawia

Kwamba ualifu sikuzotee hauna faidaa


Story hii imeletwa kwenuu na Damich

Kwa uzamini wa damich story entertainment

WhatsApp number 0624032247

Contact +255624032247

Instagram…@damich2

Facebook page Damich story entertainment


Asanteniii sanaaa



Copyright

©Damich story ®

2018

Gangster sehemu 9


Gangster

Sehemu 9

Mtunzi damich

WhatsApp number 0624032247

Instagram……@damich2

Facebook page…. Damich story entertainment

My website….

damichstory.blogspot.com/


Tulipo ishia


Sasa cha ajabuu bintii alishangaa anaskia sauti yake akiongea ubalozinii


Sasa alijiuliza hii sauti yangu ina fanya nini ubalozinii alijikuta anapata shaukuu ya kujua kinacho endelea


Wakati binti anaendelea kushangaa alitaamakii


Songa nayo


Anashangaa kumuona inspecta seba akiwa na priva  Wamekaa pamoja na waandishii wa habarii

Wakiwa photoa picha

Alafu nyuma yao wamewasha projecta ikawa inaoneshaa sinemaa


Ooh shiiitiii kumbe

Alirecodiwa ile siku anatoa Hadith yakee juu ya maisha yake na alivo kutana na damii


Privaa alianza kuojiwa na waandishii wa habarii

Kwa kuipenda inchi yangu

Tumefanikiwa kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja

Cha kwanza tumefanikiwa kutengeneza. Movie inayo muhusu muhunii pamoja na mke wake muhunii


Pili tumefanikiwa kumkamata uyo muhunii


Sikuzote ukitaka kumkamata samakii mkubwa lazima umtegee samakii mdogo


Kwaiyo nilitumia samaki mdogo kumkamata samakii kubwa


Nilitumia ujanja ujanja wa kimapenz kumkamata uyo damich


Kwa sasa Damich yupo mikononi mwa polisi anasubiriwa akanyongwe

Watu walimpigia makofiii


Nancy dakika ya mwisho ndo anakuja kujua kwamba priva alikua ni tapelii na hakua na mapenzi ya ukwel ata kidogo yeye shida yake ni alitakaa kumkamatishaa  Damich mikononi mwa polisi kwa kumtumia mke wake

(Soma kama mtuu mwenye hasira)

Sasa Nancy alimpandisha sumu ya hatar

Nancy alimwambia shetanii wewee

Ntakuuua

Ntakuuua

Pale palee

Mbele ya waandishii wa habarii alimkamata

Nakuchukiaa

Jamaa alimvuta pembeni alimpiga vibaoo

(Soma kitaratibu kama mtu mwenye huzuni,)

Kwa nini umenifanyia kitu kama ichii

Kumbe maisha yangu ulikua ukiyafanya kama sinemaa

Mimi najua kua una nipenda kumbe una nitania

Ukachezea mwili wanguu mpaka ukanipaa na mimbaa

Kumbe ulikua unanitaniaa

Sasa priva akamjibuu kwa ujasirii

(Soma kama mtuu jasirii)

Sasa Mimi nilikua sikupendii

Mimi nilikua na tafuta pesaa na nilikua na fanya kazii

Wewe ni muhunii ni muhunii tuh na mume wakoo ni muhunii vile vile


Uliyatoa maisha yako kwa muhunii hivyo na wew ni muhunii


Mimi siwezi kua na mwanamke kama wewe

Mimi siwezi kua na mwanamke kama wewe ambae ulisha pata mumee akakuzalishaa

Nitembee na wewee

Niiishii na wewe

Mimi nilikua na tafuta pesaa

Kupitia story yako na mumeo Mimi nime pata pesaa


Privaaaaaaa

Tokaaaaaaaa tena usiniwazee katika maisha yako yotee

Aita kaa iwezekane ata siku mmoja Mimi kuishii na mtuu kama wewe

Binti alikua anapigaa ke lelee

Muhuniiiii

Muhuniiiiii

Muhuniiiii


Priva akaamrisha walinzii

Mtoeniii njee

Basi binti alitolewa njeee

Ukuu akitukanaaaa

Shetanii wewee

Utakufaaa

Mbwaa wewe


Dooho inasikitisha sanaa aiseeh

Maskini Nancy ana ata baba wa kumteteaa ana ata mama wa kuingilia katii ili swalaa maskinii


Mume ndo hivyo anakwenda kunyongwa

Yeye mwenyewe ndo kamuuza mumewee

Kwa ajilii ya priva na privaa ndo uyoo kumbe kamtapeliii kimapenz aiseeh


Na uku upande wa priva yeye anaona ni sawa kabisa kwa sababu anapata pesa kwa kutumia story ya Nancy na DAMICH


Niniii kitafuataa


ITAENDELEA


USIKOSE SEHEMU 10

Ambayo ni mwisho kabisaa

WhatsApp / 0624032247

Damich story entertainment


Copyright

©Damich story ®

2018

Gangster sehemu 8


Gangster

Sehemu 8

Mtunzi damich

WhatsApp number 0624032247

Instagram……@damich2

Facebook page…. Damich story entertainment

My website….

damichstory.blogspot.com/


Tulipo ishia


Nancy Alijua amemsaidia lakinii wapii

Ukiangalia damii alikua ni mualifu mkubwa hivyo awezii kuachiwa hivi hivi ni lazima apewe hukumu ya kunyongwa


Bintii alijua amesha msaidia damii na nibora akaishii na privaa

Mume ambaye kwa sasa ana mimbaa yakee


Songa nayo


Bado ni story wakati huo binti ana hali mbaya


Binti alikaa akatafakarii akikumbukaa damii alivo kuwa akiliaa


Binti roho ilikua inamuuma

Basi binti aliamua kumfwata  priva nyumban kwakee


Lakini alipo fikaa alikuta kumefugwaa akaamua kupiga simu lakini ilipokelewa na mtu mwingine

Hallo wew nanii

Mimi Nancy

Ok priva

Alikua anakutafutaa sana Ila saivi yupo ubalozinii

Ubalozi wa Tanzania nchini south Africa

Binti alishangaa sanaa

Uyu jamaa anafanya kazi ya bendi ubalozinii anaenda kufanya nini

Ilibidii aende mmoja kwa moja adi ubalozinii


Sasa cha ajabuu bintii alishangaa anaskia sauti yake akiongea ubalozinii


Sasa alijiulizay hii sauti yangu ina fanya nini ubalozinii alijikuta anapata shaukuu ya kujua kinacho endelea


Wakati binti anaendelea kushangaa alitaamakii


ITAENDELEA


USIKOSE SEHEMU 9

WhatsApp / 0624032247

Damich story entertainment


Copyright

©Damich story ®

2018

Gangster sehemu 6


Gangster

Sehemu 6

Mtunzi damich

WhatsApp number 0624032247

Instagram……@damich2

Facebook page…. Damich story entertainment

My website….

damichstory.blogspot.com/


Tulipo ishia


Naomba turudii nyumban

Nancy alipo kuwa anaskia ma neno ya mume wakee

Machozi yalikuwa yakimtokaa aligundua kuwa wakati ana rudisha moyo kwa mumewe anagundua kasha fanya makosa kwa maana ana mimbaa ya priva


Je? Nancy atafanya je


Songa nayo


Binti alikua yupo njia pandaa asijue cha kufanya


Nakwenda kutafuta visa na passport tuna rudii Tanzania

Damii alinyanyukaa na kutokaa


Damii alipo toka tu Nancy alikwenda kupiga simuu kwa privaa

Hallo

Nancy

Priva

Nimekutafuta sana ulikua wapi mda wote huo

Tafadhalii na taka ni ni kutane na wew

Nancy anamwambiw nina mimba apa nilipoo

Priva anataamakii

Ninii?


Uku upande wa Damich

Alifanikiwa kukata visa na passport

Wakati ana rudii alitekwaa na watu wasio julikanaa

Alipelekwaa


Uku upande wa Nancy yeye anafanikiwa kukutana na na privaa


Uku upande wa Damich yeye alipelekwa adi kwa mr David yule bosi wake wakipindi kilee


David alianza ku mshawishi damii kurudia kazii ya ujambazi

Lakinii jamaa aligoma na akawa ana ondokaa

Mr David alimvuta damii na  kuanza ku mpiga walimpiga sana

Jamaa alikua hoi kabisaa

Mr David alimvuta na kuchomoa bindukii tayar ku mpiga damii kwa sababu ameona atakii kufanya nae kazii


Damii aliona apa atakufaa aligeuza ile bundukii na kumchapa mr David risasi mbili za kifua na kumuua kabisa yeye pamoja na wapampe wenzakee

Alipo maliza akampigia simu Nancy naomba tukutanee kiwanjaa cha ndegee


Basi alikua anajikongojaa


Tukirudii uku upande wa Nancy na privaa


Priva anamwambia Nancy sipo tayar kumuacha huyu mtoto

Nipo tayar kuku OA

Nataka ni mlee mtoto wangu

Nancy ana mwambia   

Mimi tayar nimesha mrudia mume wanguu

Na unavo jua navokupenda sipo tayar mtoto wangu alelewe na jambazi sipo tayar

Polisi wakijua unaishia na jambazi bado tuh mtaandamwaa japo ameachaa ujambazi

Nancy mimi nimewaza hivii kama unataka huyu mtoto wetu aishii kwa amani

Pora utoe taarifa kituo cha polisi Damich akamatwee

Binti alisema apanaa

Priva alimwambia sio nafanya hivi na mchukia damii ujanielewaa

Acha polisi wa mkamate kafanya ualifu mwingi

Husipo mkamatisha kwa polisii polisi waki mkamata wata mpiga risasi wata muua

Cha kumsaidia akamatwee na polisi apate adhabu yakee akimaliza ata achiwaa

Binti aligoma kabisaa

Embu tafakarii

Binti alitafakariiiiii

ITAENDELEA


USIKOSE SEHEMU 7

WhatsApp / 0624032247

Damich story entertainment


Copyright

©Damich story ®

2018