Wednesday, 6 June 2018

She is my boss sehemu 6

She is my boss
Sehemu 6
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page….kerubi 9 story entertainment
My website…. https://damichfun.simdif.com/
Tulipo ishiaishia
Ulivo toka tuhu ni kawa na ondoka maana
mashine ime simama bara bara
Nikawa na toka speed ile na fika mlangoni
Ni kashangaa nime shikwaa
Kugeuka nika kuta rose ndo ka ni shika
Sasa mbona huu ni msala Rose ana nishikia
nin wakati kwangu mambo ni mbaya
Ukitaka kujua Rose kwa nini ka ni Zuhia basi
Endelea
Sasa Damich mbona unaondoka ata chai
ujamaliza
Nimeshibaa
Ahaah umeshiba au nime kukera nikaonaa
kama ananiletea mi yeyusho
Nikaamua zangu kwenda chumbani
Nilipo fika nikaanza ku ongea mwenyewe
Sasa na wewe jamaa mbona una niaibisha
hivyo
Saiyo naongea na mashine
Wewe Mimi natenda msaada alafu wew una
leta mambo zako za ajabu
Alafu ujue una nifurahishaa una macho lakini
unaonaa yani wewe
Ole wakoo urudie tena ntakuchapa
Hahaha nilicheka zangu
Kisha nikajilaza zangu kitandan
Kabla ata sjakaa vizur ni ka skia na itwa na
latipha
Mama wa nyumba
Damiii Dammy
Nilitoka fasta Nika enda nje ni ka mkuta
mama au unaweza muita latipha
Pamoja na Erick
Aisha,Rose
Jackie na Jackline
Niliwakuta wapo nje wana nisubirii
Nilijiuliza maswal
Aitakua Rose kawaambia ile halii nini
Dah nilikua sina jinsi nilitoka zangu taratibuu
Nikiwa fwata
Nilipo fika nilipokelewa na na maneno kutoka
Kwa mama Latipha
Hivi Damich ni wewe ndo umefanya vile?
Mama naomba ni samee skutegemea kama
inge kuwa vile
Mimi nilikua na Msa…
Kabla sijamalizia
Mama aliongea yani wewe ni mchapa kazi pia
ni mbunifu sana yani garden yetu imependeza
sana
Kweliii wewe ni SHIDAA
Yan ndo mara yako ya kwanza alafu pame
pendeza hivi ngoja na Baba jack akija ajionee
ata simpigii simuu
Na ntaongea naye akuongezee mshahara
Asante sana mama pia asante wote kwa
ujumla kwa kuikubali kazi yangu asantenii
Wote walipiga makofii pia ndo kwa mara ya
kwanza naona tabasamu lakina jack
Nimesema Jack kwa sababu sjui bado tofauti
zao maana Wana fanana utazani maji kubwa
na maji ndogo ya kilmanjaro
Watu walitawa nyikaa
Hahahaha hahahaha
Kwel Mimi ni mjinga Yani kidogo tuh ni
ropokee
Kumbe ata walikua hawa maanishi hivyoo
Nilikua natembea tembea kwenye garden
Nikaona kuna mti mmoja upo kweny garden
ulikua umedondosha uchafu kweny garden
Ika ni bidi niendee store nikachukua Reki
beleshi na fagio kisha nikatoka zangu nikawa
na kusanya uchafu
Nilikua na jisemea daha kwa kazi mmoja tuh
nimeaidiwa kuongezewa mshahara
Itabidi ni jitume aisee yani nitaifanya hii
gadern kama BUSTANII YA EDEN
Nilimaliza nikarudisha vitu vyote kisha
nikasema ngoja ni muazime Erick Cd ya movie
nikaangalie zangu maana kwenye hii nyumba
kila mtu ana TV chumbani kwake tena ni Flat
screen
Oya Erick jamaanguu
Embu ni azime ata Cd nika chekii zanguu
Ahaa Damich na ona umesha jua adi lafudhi
ya Arusha
Hehehe hehehee tulicheka wote
Kisha akanipa Albam ya Cd ni kaangalie
Chukua kaangalie maana mimi ni mesha
maliza zote
Basi nilimpa 5erick kisha nikawa na toka
zangu uyo uyo mdogo mdogo adi chumbani
kwangu Nika toa Cd moja ya kihindi ina itwa
Jannuary Nikawa na angalia kiukwel movie
hiyo ili taka ku nitoa machozi maana ilikua
nzur kinyama tena inasikitishaa kinyama
Ina muhusu. Akshay Kumar
Kama ujawai kuichekii wewe Ka iangalie
Anyway tuachane na hayo
Basi nilicheki zangua adi mida ya saa 12 jioni
nikaamua kutoka nje
Kwenda ku nyeshea bustanii kama kawaida
hua na nyeshea Asubui na jionii
Nilipo kua na nyeshea simu yangu iliita ku
chekii alikua ni Aishaa
Hey mambo
Poa VP Damich mbona skuoni ukuu chumbani
upo wap nipo kwenye gader na nyeshea zangu
Okay ni subirie na kujaa
Poa
Aisha alikuja na kukaa kweny bembea
akiniangalia navo fanya kazi
Mimi nilikua zangu bize na nyeshea uku na
imba zangu taratiiiiibuuuuh nyimbo ya
ukimwona
Nyimbo ya diamond platinum msanii wa
Tanzania
Ahaa sasa si uimbee kwa sauti nikimsikiliza
maana unaimba vizur saut nzur wewe
mwenyewe mzurii
Unajua Damich wew ni handsome Sana
Siku ya kwanza nilivo kuona skujua kama ni
mzurii hivi maana ulikuja upo rafu rafu
umeachia ma nywelee nguo mbaya mbaya ila
saivii una ng’aa hatari
Aisha embu acha maneno yako hayoo
Sawa ongeza sautii tu imbee wotee basi
Niliona sio shida
Ngoja ni rudishe mpira ndani kisha nije
tuimbee
Basi nilirudisha mpira kisha nikarudi zangu
tukawa tume kaa kweny bembea tuna imba
nyimbo ya ukimwona
Mimi na imba Aisha ni kiitikioo
Basi ilikua ni raha sana nyimbo
Tukiwa zetu tuna imbaa
Saa ngapii asitokee jack sasa sjui ni Jackline
au Jackie
Aisha umekosa kazii eeh Aya nenda ndanii
kawa saidianeni kuandaa msosii
Aisha aliondokaa na mimi nikawa na ondoka
zangu
Wewe Damich unaenda wap
Njoo apa basi nilisogea alipo maana alikua
amekaa kwenye Bembea
Shkamoo dada
Ehee Unanisalimiaje wakati ni kama tume
lingana
Mimi niite Jackie na sio dada sawa
Ok sawa
Wewe ndo ulikua unaimbaa
Alikua ni Jackie kaniulizaa
STORY ITAENDELEA IKIFIKISHA LIKE 100 NA
COMMENT 50
KWENYE PAGE YANGU YA KERUBI 9 STORY
ENTERTAINMENT
FACEBOOK
ITAENDELEA
USIKOSE
SEHEMU YA 7
Damich ink
©Damich 2018®

No comments:

Post a Comment