She is my boss
Sehemu 5
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page….kerubi 9 story entertainment
My website…. https://damichfun.simdif.com/
Tulipo ishiaishia
Tulicheka wote
Okay nipe number zako
06*********7
Okay naku bipu utaiona
Okay ni meiona brooh
Kwaiyo kweny simu yangu kuna number 3
Ya Aisha
Erick
Pamoja na Sophia
Basi niliendelea kubonyeza bonyeza simu
yangu uku nikipiga story na Erick
Endelea
Mida nayo ilienda ikafika adi mida ya kulala
Nililala zangu saa 11 asubui nilikua tayari ni
mesha amka nikatoka nje kisha nikaenda
moja kwa moja adi kweny bustanii yangu
Nilibadili nguo nika chukua vitendea kazi
kisha nikaanza kazi ya kupunguza majani
kweny fensi nilipunguza na kua akikisha yame
kaa sawa kisha nikachukua mkasi nikaanza
kupunguza maua yaliyo zidi nili hakikisha
bustan ina pendeza
Nilipo maliza nilienda store kisha nikatoka na
mashine ya kupunguza majani yan ukoka
Ile machine ya gari
Pia nilipunguza majani yakawa sawa
nilisimam na kuanza kuangalia kazi niliyo
fanya
Kiukwel ilikua nzur
Ila bado skuridhika
Saiyo ilikua mida ya saa 2 asubui nilipata
wazo ilinibidi ni msubiri
Mr frey aamke
Basi nikawa na kusanya
Mataka taka yote
Mara Mr frey akatoka nje kisha nika mfwata
Shkamoo Mzee
Marahaba umeamka je
Salama tu Mzee
Sasa Mzee naomba unipe Elfu Hamisi 50
Ya nini kijana
Mzee we nipe utaona kazi nitakayo fanyia
Mzee wa watu akua na hiyana aliingiza
mkono akatoa wallet kisha aka ni hesabia mi
ten ten mi tano
Nilichukua kisha nika mfwata Erick
Oya brooh amka bhan una lala paka sahivi
Vp Damich
Poa oya naomba unisindikize mahal
Wapi tena
Wew jiandae unisindikize
Basi tulitoka nje ya Geri
Nambie Bhan unataka ni kusindikize wapi
Natak unisindikize Hardware
Unaenda kuchukua nini?
Naenda ytyruti
Okay sio mbali sana ni pale mbele
Tulifika tuka chukua rangi kopo mbili
Rangi nyeupe na nyeusi
Nilichukua brash mbili kisha nika lipa nika
rudishiwa 2000
I w
Basi tulibeba adi tuka fika nyumba tulipitia
dukan tuka chukua mafuta ya taa kisha tuli
rudi ndani kisha nikaenda zangu kweny
bustanii nilimpa Erick kazi ya kuchanganya
rangi na Mimi kazi yangu ilikua ni kupaka
rangi vigaye vilivyo zunguka garden na ma ua
Nilipaka Kwa mfumo wa punda mlia yan
kulipendeza sivyo kawaida
Basi nilienda Ku badilisha nguo kisha nika
oga Nikapiga mswakii nikawa na enda jikonii
ku chukua chai
Basi niliingia maeneo ya jikoni nilimkuta Rose
akiwa ana endelea na kazi zake niliingia ni ka
msalimia
Vp
Poa mambo
Fresh mzm
Mi mzima
Oka themosi iko wapi
Iyo apo mkate ule pale blue band iko kwenye
kabati
Basi nilichukua blue band nikawa na paka
zangu uku ni kimuangalia Rose
Rose alikua ni mzuri alafu mweusi na ana
shape zuri Yani ana hipsi za saizi na hapo
nyuma kafungasha mzigo wa haina yake
Nikawa na mchekii uku niliendelea na kazi ya
kupaka blue band hadi nika maliza
Saiyo kila mtu yupo kimya
Akuna aliye muongelesha mweza
Basi nilianza zangu kunywa chai
Ahaah Damich ata karibuu
Duh kwel wew mchoyo
Amna Rose ok karibu
Stakii sasa paka uombwee
Njoo tunywe bhana
Stakiii
Labda unilishe siuna ona mikono yangu ina
mapovu
Nikuliishee!
Eheee kwani unaogopa
Apana
Ok njoo ni lishe
Basi nilichukua kipande kimoja cha mkate
kisha nika mlisha na chai
Okay asante nimesha as
Aaah rose mkate slesi mmoja umeshibaa
Ndio nilikua nimesha kunywa chai ila shida
yangu ilikua ni unilishe
Kwaiyo imefutikaa
Ndio nimefrai okay sawa
Ila wew sio mzima
Sasa saangapi mkono wa rose usinate kweny
sinki ukawa utokii
Nilimuona anaangaika kuuchomoa ila
anashindwa
Hivi Damich ni kwamba unioni au nakuaidii
Nawew unaangaika sasa uko ulikua unatafuta
nini
Rose aliingiza mkono kweny lile Tundu la
kupitishia maji
Amna pete yangu niliweka apa juu saa na
OSHA vyombo ndo ikadumbukia ukoo ndo
nikawa na taka ni itoe nimefanikiwa ku ishika
ila mkono ndo hautaki kutoka
Basi nilichukua sabuni ya maji kisha nika
mwaga juu ya mkono wake nikawa na taka ni
mvute
Nilikaa pembeni yake nikawa na mvuta lakin
kwa shida sana
Sasa si ukae kwa nyuma
Ndio utavuta vizur
Alikua ni Rose ndo kazungumza hivyo
Nilikaa nyuma yake sasa nika shika mkono
nikawa na vuta sasa ile tingishika tingishika
saa ngapi
Mashine ija kurupuka maana alikua
kanisogezea kalio adi kweny mashine
Sasa mashine ikawa ina panda mnara kutoka
3G hadi kufikia 10G
Adi nikawa na hona haibu maana ilikua iki
msukuma sukuma
Dammy nini tena
Oohooo sasa Rose akawa ana niuliza eti ni
nini kina msukuma
Nikaona apa yata ibuka mambo mengine nili
mvuta mkono kwa nguvu uka toka
Ulivo toka tuhu ni kawa na ondoka maana
mashine ime simama bara bara
Nikawa na toka speed ile na fika mlangoni
Ni kashangaa nime shikwaa
Kugeuka nika kuta rose ndo ka ni shika
Sasa mbona huu ni msala Rose ana nishikia
nin wakati kwangu mambo ni mbaya
Ukitaka kujua Rose kwa nini ka ni Zuhia basi
STORY ITAENDELEA IKIFIKISHA LIKE 100 NA
COMMENT 50
KWENYE PAGE YANGU YA KERUBI 9 STORY
ENTERTAINMENT
FACEBOOK
ITAENDELEA
USIKOSE
SEHEMU YA 6
Damich ink
©Damich 2018®
No comments:
Post a Comment