She is my boss
Sehemu 15
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page…. Damich story entertainment
My website….
damichstory.blogspot.com/
Tulipo ishiaishia
Basii tulifanyaa kwa mdaa kila mtu akaridhikaaa na maufundii ya mwenzakee
Tuliponge zana kishaa nikaavaa zangu nguo kisha nikaondokaaa
Endelea
Siku iliyofuata niliamka kama kawaida nikawa na piga zangu kazi kama kawaida
Nilifanya usafi mpaka mida ya saa4 hivi
Freymar pamoja na mke wake walikua tayar wameenda kazini
.nyumban walibaki Jackie,Jackline,aisha,rose, Erick pamoja na Mimi
Nilimaliza kazi nikanywa chai kisha nikawa nipo zangu kweny bembea najitoa ushamba na smartphone
Kiukwel nilikua najua ku piga na sms tuh
Vingine sivijui
Sasa wakati na ng’ang’ana na simu yangu alijitokeza Jackie akiwa na yeye kashika simulation kama ile yangu copy right
Alikuja na kukaa pembeni yangu
Mambo damii
Poa mzma wew
Mi mzma off kwakoo
Nashkuru karibuu
Hee na wew una smartphone mbona maajabuu
Hee kwani mimi sio mtu.
Apana ila nakuona kama mshamba hivii
Weee mimi mimi sio mshambaa
Ntajua tuh kama sio mshambaa
Unaijua WhatsApp, Facebook, Instagram
Na zisikiagaa
Hahaha sasa siumeona
Ujui ata WhatsApp
Okay nimekubalii mimi mshambaa
Leta nikufungulie WhatsApp Facebook Twitter Instagram na playstore
Alafu nikufundishee
Ok sawa
Una megabytes
Sina
Jackie alitoa elfu 5
Shika ka nunue vocha ya 2000
Basi nilitoka nje na kununua vocha kisha nika rudi nika mpa
Alijiunga mb kisha tukaanza na kufungua playstore
Jina la kwanza
Damich
Jina la pili
Bida
Password
*******
Www.damichnt@gmail.com
Damich
Email yako ni
www.damichnt@gmail.com
Password yako ni*******
Unatakiwa ukariri
Jackie aliingia playstore na mimi nilikua na muangalia
Ali search WhatsApp kisha aka install
Instagram
Zote zilimaliza ku instolikaa
Basi alinifungulia
Na WhatsApp
Kila kitu kikamalizikaa
Alinifundisha jinsi ya kutumia hiyo mitandao ya kijamii
Sasa nikawa na weka pic yangu Facebook
Nikamaliza nikaweka WhatsApp pamoja na Instagram
Kiukwel nilikua na kichwa chepesii maana nimefundishwa mda huo huo lakin nimeshakua mtaalamuu
Sasa nikiwa na shangaa shangaa mara message ika ingia WhatsApp
Hiyo ndo account yangu
Niliuliza wew nan
Acha ufala mimi Jackie
Aaha okay
Utakuta nimekutumia friend request Facebook
Na nimeku follow Instagram
Sawa
Sasa tukiwa tupo pale kweny bembea
Aisha alikuja na kutuambia tunaitwa wote sebleni
Basi tulinyanyukaa na kwenda sebleni
Nilipo fika nilishangaa kuwa kuta watu wote kweny nyumba wapo sebleni nilishangaa kwa sababu kuna mgeni wamekuja nayee
Mr frey au baba mwenye nyumba
Uyu ana itwa petro ni mfanya kazi mpya ata kuwa anahusika na garden
Na Damich yeye
Mzee kuna mahali nimekosea
Mzee wangu
Usinifanyie hivyo nipo tayar ata unipunguzie mshahara lakin sio kunifukuzaa
Huwez amini nililia kabisa yan maana nilikua nimesha ng’aa sikutaka kurud kabisa uparee
.nilimfwata mzee na kumpigia magoti
Nilihisi labda kuna mahal nilikosea
Watu wote walinionea hurumaa aiseeh
Rose machoz yali mlenga lengaa
Aisha ndo usisemee
Karibuu watu wote hawakufurahishwa na kitendo cha mimi kufukuzwa
Lakin mr frey yeye pamoja na mke wake Latipha walikua wakitabasamuu tuh
Sikiliza sikiliza mwananguu
Nilishangaa mr frey kuniita
Mwanangu
Watu wote walikua attention
Kujua Freymar ataongea nn
Mimi na mama yako tuliona tumeishi na wew vizur bila shida yoyote tukaona tukubadilishie kazii saivi hautakua una husikaa na garden tena bali utakua dereva wa familia na uyu yeye atahusikaa na garden
Na mshahara utapandaa
Nilifurai sana nilimshukuru sana mr frey
Na mke wake Latipha
Watu wote walifurai sana
Ila mzee mimi sijui kuendesha gari
Usijal mwanangu akuna mtu aliye zaliwa anajua hivyo utafundishwa
Jackie
Yes daddy
Nataka umfundishe dami kuendesha gari ndani ya mwezi na mwezi ukiisha na mpelekaa driving school wiki 2 ajue sheria za barabarani na upate lesseni kabisaa
Aiseeh nilifrai sanaa
ITAENDELEA
USIKOSE SEHEMU 16
Usisahau ku like my page Damich story entertainment Facebook
Kwa ushauri maoni
Nichek WhatsApp 0624032247
Damich ink
Copyright
©Damich 2018®
No comments:
Post a Comment