Mtunzi damich
number
0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page….kerubi 9
story entertainment
My website….https://
damichfun.simdif.com
Mwanzo
Nikiwa safarini kuelekea
jijini Arusha
Mimi naitwa Damich
Nimezaliwa update
Nimemaliza form 4
mwaka 2016
Maisha ya upare yalikua
maisha magumu sana
hivyo nilona
Nibora niende Arusha
maana uko Arusha kuna
mjomba angu anaishi uko
na maisha yake yalikua ni
mazuri sana
Gari lilifika stendi kubwa
ya Arusha
Nilishuka nikiwa mgeni
kabisa
Nilotoa simu kisha Nika
mpigia simu mjomba
Hallo
Hallo
Shkamoo mjomba
Marahaba vipi umesha
fika
Ndio mjomba
Ok nisubiri sehemu
wanapo paki tex nakuja
Basi nilisubiri kama robo
Mjomba alikuja na gari
moja Kali
Nilipanda gari
Kisha tukaondoka zetuu
Tulipo fika nyumban
Tuliingia moja kwa
mojaaa
Tulipo fika tuliingia ndani
ilikua ni bonge la
mnyumbaaa
Ukiskia nyumba ata iyo
inaadhi ya kuitwa nyumba
Nilimkuta mdada mmoja
Kwa haraka haraka
anaonekana ndo mke wa
mjomba
Shkamoo
Nilimpa salam
Hila akuitikia niliona sio
kesi nikakaa zangu kimya
Mke wangu huyu ndo
kajomba kangu kametoka
upare tuta kua tuna ishi
naye
Yule mwanamke
alinyanyuka na kuondoka
Mjomba ilibidi amfwate
Nikiwa apo sebleni
Niliskia kama wana
rumbana hivi
Baada ya dakika kama 6
hivi mjomba alitoka uku
akitabasamu
Akutaka ni jue kama
ametoka kweny
malumbanoo
Damich njoo nikuoneshe
chumba
Basi nilioneshwa chumba
kisha nikaoga kisha nika
enda kujipunzisha zangu
Skuiyo ilipita
Asubui niliamka zangu
kisha nika toka nje
Nikawa na piga zangu
mswakii nje
Sasa nikawa na tafuta
sehemu ya kutemea mate
Nilisogea adi kweny
bustanii
Nikaona ni sehemu sa hihi
ya kutemea mate
Niliendelea kupiga
mswakii
Wewe mbwaa nani
kakuambia uteme mate
kweny bustanii yangu
Umetumwa Eeeh
Nilibaki kimya
nikimsikiliza mke wa
mjomba
Aha mke wangu sasa
maneno yote ya nini
Siunge muelewesha tuh
Siuna jua yeye mwenyewe
katoka kijijini
Yule mwanamkee
aliondoka zake
Dami embu jiandae nataka
tutokee
Mjomba apa Mimi nipo
vizur ni wewe tuh
Tangulia kweny gari
nakuja
Sawa
Niliingia zangu kweny gari
Nikawa na msubiri
mjomba
Skujua mjomba ana taka
tuende wapi
Mjomba alikuja kisha
akawasha gari tuka toka
nikiwa kweny gari
Mjomba Hali ya hewa ya
Arusha ni nzuri sana
Kuliko kule kwenuu eeh
Mjomba
Damich niskilizee Kwa
umakini
Nilikuata uku mjini Kwa
ajili ya kukutafutia kazi
Ndio mjomba
Ngoja ni kupe hadithi
kidogo kuhusu Mimi
Kipindi kile naondoka
kijijini
Nilipo fika Arusha
niliteseka sana
Yani nilikua kama
chokoraa nilikua sina ata
sehemu ya kulala
Sasa siku mmoja nikiwa
kweny pilika pilika za
kutafta pesa ya kula
nilikua na pita pita mitaa
flani hivi
Sasa kweny pita pita zangu
nilikutana na jamaa
mmoja anakimbia kinoma
Alinipamia na
kuniangusha nilipo amka
nilitukana sana sasa kabla
sjakaa vizur kuna dada
akatokea alikua akilia kua
kaibiwa
Niliamua kumfukuzia yule
jamaa
Kama unavo jua mjomba
wako tokea kijijini nilikua
na mbio Sana
Hivyo jamaa akufika
mbali nilimpiga bonge la
mtama
Akaanguka nilimfwata
nika mpiga ngumi kama 3
Brother ni samehe ni njaa
tuh
Mim sio mwizi
Nilimuonea huruma kisha
nika search ile pochi
nikakuta ina pesa nyingi
nilitoa elfu 10 kisha nika
mpa yule jamaa akale
Usirudie kuiba tena sawa
Wizi sio mzuri
Sio kila mtu ana huruma
Basi nilishika ile pochi
kisha nikawa na rudi
kumfwata yule dada
Yan alinishukuru sana
ASANTE sana kaka angu
Yan hii pochi ilikua na
vitu vya humuimu Sana
Poa nilimkabhi kisha
nikawa na ondoka zangu
Samahan kaka angu
Mbona una ondokaa
Shika hii itakusaidia
alinipa kitita cha kama
laki3 hivi
Asante dada angu aina
haja ya kunipa ela yote hii
Kutenda msaada ni
jukumu la kila
mwanadamuu
Chukua chukua tuh usjal
Ok nilichukua kisha
nikiwa na ondoka
Samahan una simu unipe
number zako
Apana sina dada angu basi
alinipa simu mmoja ya
botton nakuniambia nenda
ka sajili laini
Aliniandikia number
Kisha akaondoka
Nahuo ndo mwanzo wa
kujuana na ndo huyo
shemeji yako
Na hisi malizote unazo
Ziona
Ni za Yule
Mwanamkee
APA sahivi nakupeleka
kwa rafikii yangu
niliongea naye atakupa
kazii
Poa tulienda Hadi kweny
hiyoo nyumba
ITAENDELEA
USIKOSE SEHEMU 2
© Damich ®
™ 2018
No comments:
Post a Comment