She is my boss
Sehemu 4
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page….kerubi 9 story entertainment
My website…. https://damichfun.simdif.com/
Tulipo ishiaishia
Sasa naona umeshindwa kukaa na Mimi hivyo
naomba huondokee
Lakini mama
Nimekuambia naomba uondokeea
Mama
Ngoja ni ingie ndani ni toke nikukute apoo
Endelea
Basi niliondoka uku ni kilia nisijue pa kwenda
Nilikua natembea tembea uku nikilia ndipo
nika kutana
Na huyu mama
Mwananguu mbona unalia bara barani
Alitoa kitambaa na kuanza kunifuta machozi
na makamasi
Ndipo alinichukua na kwenda naye kweny
restaurant na kuninunulia chakula
Ok mwananguu embu ni hadithie kilicho kua
kina kuliza au ni njaa
Apana sio njaa
Nili mwadithia mwanzo mwisho
Kiukwel mama yule alionekana ana huruma
sana
Mbona binadamu tumekua na roho mbayaa
zaidi ya mnyama
Kweli binadamu tuna tisha aisee
Mama naomba usiniache mama
Naomba unichukue mama anguu na kuaidi
sitakua mzigo nitakua na kusaidia kazi maana
najua kuosha vyombo kudekii
Kiukwel na jua kazi nyingi
Cha umuhimu nipate kula na pa kulala
Mama please
Nilimuomba sana yule mama
Nyamaza mwananguu nita kusaidia
Nili mrukia yule mama na kumkombatia
kwanguvu niliona kama mungu kaniletea
malaikaa
SIKU ZOTE KATIKA MAISHA UTAKUTANA NA
SHIDA NYINGI SANA KILA MTU ATA KUTENGA
LAKINI
MUNGU ATAKULETEA MTU MMOJA WA
KUSIMAMA NA WEWE JAPO WENGINE
WALIKUTENGA
WEWE MWENYEWE ANGALIA NI MANGAPI
UMEPITIA SHIDAA MATATIZO LAKINI
UTAKUTA KUNA MTU MMOJA ANAJITOKEZA
KWA AJILI YAKO
KIUFUPI MUNGU AMUACHII MJAA WAKEE
Ok tuendelee na story
Basi huyu mama ndo alinichukua na kuja
kuishi naye kiukwel nilikua na saidiana na
wafanyakazi wengine wa uko ndani kazi
Yani skua mvivu japo mama alikua
ananiambia ni waache wao wafanye kazi
Lakini nilikua na jichanganya nao
Kwaiyo unataka uniambie Aisha wewe sio
mfanyakazi
Ndio mimi sio mfanyakazi
Mfanyakazi ni Rose
Ujue Ata mimi skujua nilijua ni mfanyakazi
maana unajishughulisha Sana
Ndio japo mama aliniambia ni simamie
garden tuh
Lakini bado najishughulisha na kazi nyingine
Skunyingine na poke zana na Rose Ku pikaa
Mama jana aliniambia tumesha pata kijana
atakae husika na garden hivyo hupunzike na
wewe
Lakini nakuaidii tuta kua tuna saidiana kazi
ya garden
Nilifrai basi tulimaliza kupiga story kila mtu
aka enda ndani
Mimi niliingia mmoja kwa mmoja adi
chumbani kwangu
Nika kumbuka ile simu niliyo pewa nili ji
search kisha nikatoka na elfu 2
Nilimuita Aisha nika muomba anipeleke
sehemu wanapo sajili laini
Tuliondoka you Aisha tuka sajili laini
Kisha tukawa tuna rudii
Aisha aliniomba number skusita kumpa nili
mpa
Tulirudi zetu ndani
Aisha aliingia ndani kisha mimi nikaamua
kwenda kwenye getto la Erick
Vp brother
Poa nambie dogo
Fresh tuh naona umejipunzisha
Ndio kaka nambie
Kwani nina jipya ataa
Okay karibu kaa
Niliingia ndani kisha
Nikatoka kile ki simuu na kuamua ku mpigia
yule mdada alie nipa number
Triiii triiiii triiiii triiii
Hallo
Hallo
Mambo
Poa nan mwenzanguu
Mbon una haraka hivyo
Ndio coz siwezi ku ongea na mtu nisiye mjua
Kama ujitambulishi Mimi na kata simu
Maana nipo bize
Okay Mimi naitwa Damich
Kuna siku nilikusaidia kuku letea mkoba wako
ulio ibiwa na mwizii
Jamaniii kumbe ni wewe
Ndio n mimi sister
Nilijua utanitafuta
Ila na shkuru umenitafutaa
Usjal sister mzima lakin
Mimi mzima sjui wewe
Mi mzima pia
Vizur upo wap saivi
Nipo home
Okay tunaweza kukutana Nakumat
Mimi spajui maana Mimi ni mgeni na ile siku
tumekutana ndio ni likua nimetoka Kijijini na
ingia Arusha
Okay ulikuja Arusha Kwa ndugu zako au
Apana nilikuja kutafuta kazi
Sasa umesha pata kaziii
Ndio nimepata
Kazi gani
Nimepata kazi ya garden
Nilijua ujapata nije nikuajiriii
Nimesha pata kaziii
Hivi umeniambia unaitwa dami nini
Naitwa Damich
Okay ngoja ni save
Na mimi naitwa Sophia
Okay ngoja ni save
Badae basi ntakuchek maana kuna kazi na
fanya
Nilikata
Kweli Dogo Hufai
Alikua ni Erick
Kwa nini brooh
Juzi umeingia Arusha na Demu
Umesha pataa
Hahahaha hahahaha
Tulicheka wote
Okay nipe number zako
06*********7
Okay naku bipu utaiona
Okay ni meiona brooh
Kwaiyo kweny simu yangu kuna number 3
Ya Aisha
Erick
Pamoja na Sophia
Basi niliendelea kubonyeza bonyeza simu
yangu uku nikipiga story na Erick
STORY ITAENDELEA IKIFIKISHA LIKE 50 NA
COMMENT 50
KWENYE PAGE YANGU YA KERUBI 9 STORY
ENTERTAINMENT
FACEBOOK
ITAENDELEA
USIKOSE
SEHEMU YA 5
Damich ink
©Damich 2018®
No comments:
Post a Comment