Mtunzi damich
WhatsApp
number
0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page….kerubi 9
story entertainment
My website….https://
damichfun.simdif.com
Tulipo ishia
Chukua chukua tuh usjal
Ok nilichukua kisha
nikiwa na ondoka
Samahan una simu unipe
number zako
Apana sina dada angu basi
alinipa simu mmoja ya
botton nakuniambia nenda
ka sajili laini
Aliniandikia number
Kisha akaondoka
Nahuo ndo mwanzo wa
kujuana na ndo huyo
shemeji yako
Na hisi malizote unazo
Ziona
Ni za Yule
Mwanamkee
APA sahivi nakupeleka
kwa rafikii yangu
niliongea naye atakupa
kazii
Poa tulienda Hadi kweny
hiyoo nyumba
Endelea
Tulibisha hodii kisha tuka
ingia
Tulikaribishwa adii siti
room
Nilikuta kuna watu
Nili wasalimia
Waliitika kisha tuka kaa
Mjomba alianza kuongea
Vipi ule mzigo
Ulisha upokea
Nilienda lakini niliambiwa
bado maconteina haya ja
ingia
Okay tuachane na hayo
Huyu ndo yule kijana
Nilie kuambia anaitwa
Damich
Karibu kijana jiskie upo
nyumban
Asante
Basi tulii kaa adi ikafika
mida ya saa 12 join
Mjomba aliaga na
kuondoka
Kijana karibu Sana
Yule mama aliita Aishaa
Abeee
Embu ita watu wote hadii
mlinzi
Basi watu walikusanyikaa
Ok
Kijana mimi naitwa Frey
ndo baba wa familia na
huyu apa anaitwa latipha
ni mke wangu
Pia nina watoto 2
mapacha
Jackie na Jackline
Hila apa yupo mmoja
mwingine yupo kazini ila
atarudi mda si mrefu
maana hii ndo mida yake
pia kuna wadada wawili
wa nao tusaidia kazi za
ndanii
Uyuu anaitwa Aishaa na
uyu mwingine anaitwa
Rose
Na uyu ni mlinzi wetu
anaye tuakikishia ulinzi
wa mali zetu anaitwa
Erick
Na uyu kijana anaitwa
Damich
Basi utambulishe
ulimalizika
Kila mtu anaweza
kuendelea na shuhuli yake
Ila Rose muoneshe huyu
kijana chumba chakee
Ilikua ni sauti ya latipha
yule mama
Basi nilipelekwa chumbani
kwangu
Nilipo kua chumbani
kwangu nili nili
jipunzisha zangu
Mida ya saa 2 usiku
nikiwa chumbani niliskia
naitwa
Damiii damii damii
Nilitoka nje nilikuta ni
mdaa wa kula
Basi nilitoka na kuwakuta
watu wakiwa dinning
room
Kwaajili ya kupiga msosi
Nilifika sebleni
Nilipakuliwa chakula
kisha nika kibeba nikawa
na ondoka
Damy unaenda wapi
Alikua ni mr frey ndo
aliniita
Naenda chumbani kwangu
Mzee
Kwa nini usijumuike na
wenzakoo
Ujue wewe saivi ni mwana
familia
Kwaiyo usijitenge tenge
Mzee chumbani kuna
tosha
Apana njoo
Mzee acha tuh ni kalie
kulee
Basi walikubali kisha
nikawa naenda chumbani
Sasa ile nakaribia kufika
chumbani nilikutana na
mdada mmoja sasa nikawa
na jiuliza
Hivi uyu sinime muona
kule dinning room
Sasa uyu ni yupi tena
Itakua ni pacha mwenzake
na yule
Sasa yupi ni Jackie na
yupi ni Jackline
Potelea mbali
Nitaita wote jack
Maana sioni tofauti zao
Basi nilikula kisha
nikapeleka vyombo
Na kurudi zangu ku lala
Saa 11 asubui nilikua
tayari ni mesha amka
nikatoka nje kisha
nikaenda moja kwa moja
adi kweny kibanda cha
erick
Nilimkuta Erick amekaa
zake kitandani
Dogo vipi
Poa kaka
Mbona mapema sana
Kijijini nimezoea kuamka
saa 11
Hivyo ilipo fika mida hiyo
usingizi ukawa umekata
ndo nikaamua
Kutoka nje ni tembee
tembee
Hivi umetokea kijiji ganii
Nimetokea ndungu uko
uparee
Dah upare
umenikumbusha nilikua
na demu Wang mmoja
alikua anatokea uko
uparee alikua ni nzuri
kinyama ila shida ya
mademu wa upare ni
wafupi sanaa
Aha hahaha
Kwani Erick wew
umetokea wapii
Mimi nimetokea Tanga
vijijini na mimi ni
msambaa
Hehehe sasa Erick si bora
mademu wa upare kuliko
wasambaa maana ni
wafupi kama kidumuu
Hahahaha wa pare ndo
wafupii
Amna wa sambaa ndo
wafupii
Yani tulizoeana na Erick
Yan mtu alitukuta
unaweza sema ni watu
tulio kutana miezi 3 iliyo
pita
Ok Erick wew umekuja
kwenye hili nyumba lini
Ahaa mimi nina Miaka 2
hivi na nusu
Nambie hii familia ikojee
Familia hii ni nzuri sana
Wanaishi na watu vizuri
yani awana ubaguzii
Ila sasa kuna hao
mapacha hao ndo
hawatakii mchezo
Mimi kuna siku kidogo
nifukuzwe kazi kisa nili
mtamani mmoja wapo
Yan mimi na taniana na
wengine wote isipo kua
hao mapacha
Basi tulipiga story adi saa
2 hivi niliskia naitwa
Nenda unaitwa na madam
Damy damiii
Nilimsogelea kisha nika
msalimia shkamoo
Marahaba
Jiandae haraka mzee
anataka kutoka na wewe
Ok sawa
Niliingia ndani kisha
nikapiga mswakii nikaoga
kisha nikatoka
Nilimkuta mzee Frey yupo
akiwa sebleni ana nisubiri
Tayari kijana
Ndio mzee
Ok nifwatee
Nilimfwata kisha
akaniambia ingia kweny
gari
Tuliondoka tukiwa njiani
Mzee alianza kuongea
Kijana ume waona wale
mabinti zangu
Jackie na Jackline
Ndio mzee
Wale ni mabinti zangu
wakipekee sana
nawependa kuliko navo
jipenda
Sababu ya kukueleza haya
yote ni naomba sitaki mtu
yoyote awe na mahusiano
na mabinti zangu
Kuna kijana alikua
anafanya kazi kwangu
alikua anahusika na
garden
Nimemfukuza siku sio
nyingi kwa sababu
niligundua ana mahusiano
na Jackie na nilisha
muonya
Ata mlinzi anajua hilii na
sahivi nikigundua mtu ana
mahusiano na binti yangu
na mpeleka jelaa
Sawa mzee mimi nime ku
elewa na mimi nipo kikazi
tuh na si vinginevyo
Nafrai kusikia hivyo
kijana
Sasa hivi na kupeleka
ukachague nguo na viatu
kisha nita kupeleka Barber
shop ukanyoe hizo nyele
maana upo kama jini
Hehehe mzee alicheka
Tulifika kweny dox mmoja
kubwa
ITAENDELEA
USIKOSE
SEHEMU YA 3
Damich ink
©Damich 2018®
No comments:
Post a Comment