Wednesday, 6 June 2018

She is my boss sehemu 3

She is my boss
Sehemu 3
Mtunzi damich
WhatsApp number 0624032247
Instagram……@damich2
Facebook page….kerubi 9 story entertainment
My website…. https://damichfun.simdif.com/
Tulipo ishia
Ata mlinzi anajua hilii na sahivi nikigundua
mtu ana mahusiano na binti yangu na
mpeleka jelaa
Sawa mzee mimi nime ku elewa na mimi nipo
kikazi tuh na si vinginevyo
Nafrai kusikia hivyo kijana
Sasa hivi na kupeleka ukachague nguo na
viatu kisha nita kupeleka Barber shop ukanyoe
hizo nyele maana upo kama jini
Hehehe mzee alicheka
Tulifika kweny dox mmoja kubwa
Endelea
Tuliingia kisha nika chagua viwalo vya
kutosha pamoja na viatu vikalii
Mzee alilipa kisha tukatoka
Kijana kilicho baki ni kunyoa
Alinipeleka kweny Barber shop moja kali inayo
itwaa A-town barber shop
Tuliingia kisha mzee akaniambia chagua style
ya kunyoa
mimi ni nyoe upara
Aaha kijana una niangusha unajoa kipara
wewe mfungwa
Kijana mnyoe panko
Basi jamaa alininyoa skufichi nilipendeza
kinomaa
Basi tulitoka zetu
Mtu akiniina awezi kuzania maana nilikua
kimjini mjini yani nimependeza
Basi tuliondoka tukaenda kwenye duka mmoja
Hardware
Tuliingia kisha mzee akaninulia overall 3
mabutii
Na mashine ile ya kukatia majani,gloves
Pamoja na ule mkasi mkubwa wa kukatia
majani
Alipo maliza tulipandisha kweny gari kisha
tuka rudi zetu nyumban
Tulipo fika nilishusha vitu vyote nikisaidiana
na Erick
Vya kupeleka store vilipelekwa na vya ndani
vilipelekwa
Nili ambiwa ni mfwate Aisha anielekeze kazi
kisha kesho ndo nitaanza
Nikiwa na Aisha
Hivi ulisema unaitwa Damich
Ndio
Una jina zuri na la kipekee
Amna ni lakawaida
Ok nisikilize kwa Umakini maana sita rudia
tena
Sawa
Cha kwanza unatakiwa unyeshee garden ma
ya pamoja na Miri
Kingine unatakiwa ung’oe majani majan yanao
ota kwenye ma ua pia unatakiwa ukate fensi
Yani unakata hivi vitawi vilivo zidii
Umeelewaa
Apana sjaelewa nilimtania
Lakini nilikua nimeelewa
Alivo maliza kunipa maagizo tulikaa kwenye
Bembea
Maana nyumba hiyo ilikua na bembea
Tulikaa kwenye bembea
Tukawa tuna piga zetu story
Unajua nini Dammy
Yan umetokelezea kinyamaa
Adi nime ku tamani
Aisha acha izo bhanaa
Aisha wewe ni mkazi wa Arusha
ndio mimi ni mezaliwa Arusha
Kwaiyo unaifahamu Arusha vizur
Ndio yan mtu aniambii kitu kuhusu Arusha
maana nilikuaga mtoto wa mtaan hivyo kila
chochoro naijua
Ulikua mtoto wa mtaani?
Ndio ni story ndefu
Unawe kuniadisia kwa ufupi
Nikiwa na miaka 7 nilikua na ishi na mama
mmoja anaitwa Isabella
Mama huyo ana mume mume wake amesha
fariki
Alikua ana mmtoto mmoja mdogo wa kiume
Nakumbuka mimi nilikua kama na nikaka 6
alafu yule mtoto alikua ana miaka 5
Mwanzo nilijua kua Isabella ni mama angu
Ila kuna siku ndio nilijua kua sio mama angu
baada ya
Kumpiga mtoto wake
Katoto chake kalikua katundu sana
Skuiyo kali nichokoza nikakasirika nika mpiga
ndipo mama ake akawa juu na kuanza
kuongea maneno ambayo yaliuchoma moyo
wangu japo nilikua mdogo
Isabella
Wew aisha nan kakuambia umpige
mwananguu
Unajua uchungu wa mtoto wew
Cheki ulivo muumiza mtoto wangu
Kumbe nilivo mpiga nilimsukuma aka jigonga
kichwa akawa anatoa damu
Lakini mama ni Bahati mbaya kajigonga
Weeehe ishia apo apoo nan mama akoo
Mama ako alisha kufaa
Kwaiyo wew sio mama angu
Mimi sio mama akoo na kwanzia dakika hii
naomba utoke kwanguu
Skumuomba Baba akoo amtelekeze mama
akoo
Mama mbona skuelewa
Nisikilize wew kahabaa Baba akoo alimpa
mimba mama ako na kumtelekeza
Na mimi ndio nikaamua ku kaa na mama
akoo
Kipindi hicho ana mimbaa
Alipo kuzaa wew akafa ndo Mimi nika amua
kuku lea
Sasa naona umeshindwa kukaa na Mimi hivyo
naomba huondokee
Lakini mama
Nimekuambia naomba uondokee
Mama
Ngoja ni ingie ndani ni toke nikukute apoo
ITAENDELEA
USIKOSE
SEHEMU YA 4
Damich ink
©Damich 2018®

No comments:

Post a Comment